Ni rahisi kuzichomoa na zetu, siku hizi CCM haishindwi kulipa mishahara, pesa zote anatoa mama.Wakati sina shida kabisa na CCM kufanya fundraising, napata changamoto kuelewa Mamlaka za nchi zimefikiria nini kuruhusu hili kutokea.
Kwanini akaunti za Ikulu zitumike kwenye shughuli za kisiasa?
Hivi ni kwamba tumefika huku kweli?
View attachment 3439365
View attachment 3439366
Mwisho ni upi?Ccm inajifanya ina roho ya paka, wakumbuke yana mwisho haya
Sio Rahisi, ni mpaka majority ya watanzania wajielewe ba wawe tayari kupigania nchi yao kama kenya vileHizi ni nyakati za mwisho za CCM. Utashuhudia mengi sana.
Na itachukua mda sana watanganyika kujielewa ccm ina miaka mingi sana ya kuendelea kutawalaSio Rahisi, ni mpaka majority ya watanzania wajielewe ba wawe tayari kupigania nchi yao kama kenya vile
Ûkombozi utafanywa na wananchi wenyewe….,,. For now raia seems hawapo ready
So thé waiting might be long