GE2025 Ikulu ya Tanzania: Mmeshindwa kutenganisha CCM na Serikali?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
346
Reaction score
2,968
Wakati sina shida kabisa na CCM kufanya fundraising, napata changamoto kuelewa Mamlaka za nchi zimefikiria nini kuruhusu hili kutokea.

Kwanini akaunti za Ikulu zitumike kwenye shughuli za kisiasa?

Hivi ni kwamba tumefika huku kweli?


 
Ni rahisi kuzichomoa na zetu, siku hizi CCM haishindwi kulipa mishahara, pesa zote anatoa mama.
 
Ccm inajifanya ina roho ya paka, wakumbuke yana mwisho haya
 
Hizi ni nyakati za mwisho za CCM. Utashuhudia mengi sana.
Sio Rahisi, ni mpaka majority ya watanzania wajielewe ba wawe tayari kupigania nchi yao kama kenya vile

Ûkombozi utafanywa na wananchi wenyewe….,,. For now raia seems hawapo ready

So thé waiting might be long
 
Sio Rahisi, ni mpaka majority ya watanzania wajielewe ba wawe tayari kupigania nchi yao kama kenya vile

Ûkombozi utafanywa na wananchi wenyewe….,,. For now raia seems hawapo ready

So thé waiting might be long
Na itachukua mda sana watanganyika kujielewa ccm ina miaka mingi sana ya kuendelea kutawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…