Ikulu ya Uganda yaondoa utata umri wa Museveni

Ikulu ya Uganda yaondoa utata umri wa Museveni

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Utata wa umri wa Rais wa Uganda umetatuliwa baada ya Ofisi ya Rais kutoa waraka wa ubatizo unaaonesha alibatizwa Agosti 3 1947, miaka 3 baada ya kuzaliwa kwake. Hivyo taarifa hii imethibitisha kuwa ana umri wa miaka 73 kama ambavyo Serikali imekuwa ikisema.

Ikumbukwe kuwa Rais Museveni alituhumiwa na upinzani kudanganya umri kabla ya uchaguzi mkuu mwaka jana. Wapinzani walidai amedanganya kuwa ana miaka 71 wakati umri wake halisi ni miaka 5 zaidi(76) na hakufaa kugombea.

========

Ugandan President Yoweri Museveni's age has long been up for debate.

The Ugandan government has consistently said he was born in 1944, but before last year's general election the opposition accused Mr Museveni of lying, insisting he wasn't 71 but actually five years older and, therefore, too old to run for election as the country's age limit is 75.

Now the president's office has published what it says is a baptism document saying he was baptised on 3 August 1947 - three years after he was born.

That would make him 77 years old at the time of Uganda's next general election in 2021, and too old to run for a sixth term in office.

Uganda's constitution was amended back in 2006, enabling him to run for a third presidential term.

According to Uganda's Daily Monitor newspaper, the president has said previously that he does not know the exact date of his birth.

"My parents were illiterate and so did not know the date," it quotes him as saying in his autobiography Sowing the Mustard Seed, published in 1997.

Nevertheless, he has insisted to the press that he is in excellent health, saying last week that he had never had a sick day in over three decades:

Have you ever heard that Museveni has fallen sick and my legs hanged in hospital, for the last 31 years? This is because I observe some of these health tips which have eventually helped me to prevent some of these diseases. Many of the diseases are preventable.”

DGn386HXgAAaXJN.jpg

DGn3-3MXYAEhET3.jpg
 
Lengo ni kutaka kutimiza masharti ya katiba ili agombee uchaguzi ujao Wa 2021.

Viongozi Wa Afrika bwana! Mataifa ya ulaya yakiingilia kati tunalalamika kuwa wanatuonea na kutukandamiza.
 
mmmh hizi dalili hata hapa kwetu zinajitokeza sana tusiwabeze tupambane na hali yetu.
Mwanzo wa ngoma ni lele lele
Mara lele lele lele punde si punde ni lele lele lele lele
Baadae ni lele gitaa keyboard drum main speaker amplifer na wanenguaji
Hatupo salama sana kwenye hili
 
Kwa muda mrefu sana kumekuwa na mijadala hasa katika mitandao ya kijamii nchini Uganda kuhusu umri halisi wa Rais wa nchi hiyo, Yoweri Kaguta Museveni.
Kwa mara kadhaa serikali ya Uganda imekuwa ikinukuliwa ikisema kwamba Rais Museveni alizaliwa mwaka 1944, lakini kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana vyama vya upinzani vilikuwa vikimkosoa Rais Museveni kwamba anadanganya kwa kusema ana miaka 71. Vyama hivyo vilidaiwa kuwa alikuwa na zaidi ya umri wa miaka 75 na asingeweza kugombea tena.
Lakini nadhari nyingine imeibuka ambapo Ikulu ya Uganda imechapisha nyaraka kwenye ukurasa wake wa Facebook zinazoonyesha kwamba nyaraka za ubatizo wa Rais zimeandikwa tarehe yake ya kuzaliwa ambayo ni 3 Agosti 1947 na hivyo sasa ana miaka 70.
Kwa minajili hiyo, Rais Museveni atakuwa na umri wa maika 74 wakati Uganda itakapofanya uchaguzi mwingine mwaka 2021 na hivyo ataweza kugombea tena katika awamu ya sita.
Museveni alibadilisha katiba ya Uganda mwaka 2006 ili kuweza kugombea awamu ya tatu.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la nchini humo, Rais amewahi kusema kwamba hafahamu tarehe yake ya kuzaliwa.
“Wazazi wangu hawakwenda shule na hivyo hawakujua tarehe,” alinukuliwa Rais Museveni mwaka 1997 alipokuwa akitoa taarifa zake katika mahojiano maalum.
Mkanganyiko huu umekuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu Rais Museveni aliposema kuwa katika kipindi cha miaka 31 alichokuwa madarakani hajawahi kuugua.
“Umewahi kusikia Museveni ameumwa na miguu yake kuning’inizwa hospitalini kwa miaka 31 iliyopita? Hii ni kwa sababu nafuata hatua za msingi za afya ambazo zimenisaidia kuepukana na magonjwa. Magonjwa haya yanaweza kuzuilika,” alisema Museveni akitamba kwamba afya yake ni imara.

"mwanaume mashine"
 
Kuna mtu alishawahi kusema Afrika democrasia imetushinda, tumeiga kitu tusichokijua na kukiweza. Africa ingebaki ileile ya machifu na wafalme.
 
Hii ndo Afrika kuwa na viongozi wenye uchu wa madaraka.
 
Na alikuwa na mchungaji akimsaidia kudanganya umma
 
Yaani Anaamini Yeye Tu Ndiyo Kiongozi
 
Democracia tulip iga sio yetu. Sisi in mamangi..watemi..watwana n.k. ndio maana tunaendelea kuchanganyikiwa.

Wapambe in watu wa ajabu sana ukiwaruhusu wakupande kichwani.
 
Kwa muda mrefu sana kumekuwa na mijadala hasa katika mitandao ya kijamii nchini Uganda kuhusu umri halisi wa Rais wa nchi hiyo, Yoweri Kaguta Museveni.
Kwa mara kadhaa serikali ya Uganda imekuwa ikinukuliwa ikisema kwamba Rais Museveni alizaliwa mwaka 1944, lakini kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana vyama vya upinzani vilikuwa vikimkosoa Rais Museveni kwamba anadanganya kwa kusema ana miaka 71. Vyama hivyo vilidaiwa kuwa alikuwa na zaidi ya umri wa miaka 75 na asingeweza kugombea tena.
Lakini nadhari nyingine imeibuka ambapo Ikulu ya Uganda imechapisha nyaraka kwenye ukurasa wake wa Facebook zinazoonyesha kwamba nyaraka za ubatizo wa Rais zimeandikwa tarehe yake ya kuzaliwa ambayo ni 3 Agosti 1947 na hivyo sasa ana miaka 70.
Kwa minajili hiyo, Rais Museveni atakuwa na umri wa maika 74 wakati Uganda itakapofanya uchaguzi mwingine mwaka 2021 na hivyo ataweza kugombea tena katika awamu ya sita.
Museveni alibadilisha katiba ya Uganda mwaka 2006 ili kuweza kugombea awamu ya tatu.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la nchini humo, Rais amewahi kusema kwamba hafahamu tarehe yake ya kuzaliwa.
“Wazazi wangu hawakwenda shule na hivyo hawakujua tarehe,” alinukuliwa Rais Museveni mwaka 1997 alipokuwa akitoa taarifa zake katika mahojiano maalum.
Mkanganyiko huu umekuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu Rais Museveni aliposema kuwa katika kipindi cha miaka 31 alichokuwa madarakani hajawahi kuugua.
“Umewahi kusikia Museveni ameumwa na miguu yake kuning’inizwa hospitalini kwa miaka 31 iliyopita? Hii ni kwa sababu nafuata hatua za msingi za afya ambazo zimenisaidia kuepukana na magonjwa. Magonjwa haya yanaweza kuzuilika,” alisema Museveni akitamba kwamba afya yake ni imara.

"mwanaume mashine"
Wazazi wake hawakusoma hivyo hawakujua, lakini yeye baada ya kupata elimu amjua tarehe aliyozaliwa, baiolojia katika ubora wake!
 
News:

NO NEED TO CHANGE ARTICLE 102: I WAS BORN IN 1947,NOT 1944-PRESIDENT MISEVENI!

President Yoweri Museveni,together with first lady Janet Kataha Museveni on Sunday landed on information tracing his 'real' birth date!

According to records obtained from St.Luke Kanoni Church of Uganda Rwampara,Mbarara District, president Museveni was born in 1947,as opposed to 1944 as earlier documented in all his official documents.

"I will take oath to correct this mistake, this is a small matter" Museveni was quoted earlier today.

If this happens, it means president Museveni will still be eligible to stand for president in 2021 without amending the constitional article 102 clause (B) that bars one to stand for presidency after clocking 75yrs.

President Museveni will be 74yrs in 2021.
My take;
Hata wale wanaotuma watu wawapigie debe kuongezewa muda kuwa miaka 20 wakati hata miwili hawajatimiza kisha kusimama na kukataa hadharani hiyo ni moja ya mbinu tuu kuelekea kutimiza wajibu.
Hivi MTU ambaye hata 40% ya muda wake wa kipindi cha miaka mitano hajamaliza halafu anawaza huko mbele sio wa kuogopa kama ule ugonjwa hatari?
 
hahaha madaraka kwa afrika matamu sana maana hakuna challenges kutoka kwa wananchi
 
Back
Top Bottom