Ikulu ya Ukraine yalalamika kuwa Urusi imeziangamiza melivita mbili za Ukraine

Umenikumbusha mbali sana...kuna 'ajuza' mmoja hivi hapa JF ndio ilikuwa hoja yake kila akichangia kwenye mada za vita vya Ukraine...Baadae ikabainika kuwa kumbe yule ajuza ni mweupe mno 'upstairs'
Sasahivi kuna AJUZA kama wanne hivi ambao hata ukisoma post zao unagundua ni watu wenye IQ ndogo sana. 1. HIRMAS .2. VUNJO. 3. FUSO 4. KP. KIPANYA 44
 
Ukraine hawana Meli za kivita,Wana viboti ambavyo vinafanya patrol vikiwa na machine gun tu hata Makombora havina.

NB:
Ukraine ndo nchi pekee duniani isiyokuwa na Navy lakini ikafanikiwa kuzamisha Meli ya kisasa ya adui, flagship of black sea a.k.a MOSKVA.

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Ukraine ni ya 28 Kwa nguvu ya kijeshi duniani?au unaongelea Ukraine gani?
 
Sasahivi kuna AJUZA kama wanne hivi ambao hata ukisoma post zao unagundua ni watu wenye IQ ndogo sana. 1. HIRMAS .2. VUNJO. 3. FUSO 4. KP. KIPANYA 44
5; kilanja wao watery.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ewe mkuu omba hii vita iishe mkuu, tunaoumia ni mimi na wewe zaidi kuliko hao wanaopigana, crude oil ilikua inashuka below 100usd per barrel, sasa imeanza kupanda tena,tunaelekea kwenye 4k kwa Lita ya petrol, a chili mbali kuhusu unga wa ngano na cooking oil
Ni uzezeta wa akina February Ropes, mafuta ya bei chei yako Urusi.
 
Ukraine hawana Meli za kivita,Wana viboti ambavyo vinafanya patrol vikiwa na machine gun tu hata Makombora havina.

NB:
Ukraine ndo nchi pekee duniani isiyokuwa na Navy lakini ikafanikiwa kuzamisha Meli ya kisasa ya adui, flagship of black sea a.k.a MOSKVA.

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Kwamba Rwanda wanayo navy Force?
 
Ukraine hawana Meli za kivita,Wana viboti ambavyo vinafanya patrol vikiwa na machine gun tu hata Makombora havina.

NB:
Ukraine ndo nchi pekee duniani isiyokuwa na Navy

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Dogo acha kuropokaropoka hovyo mambo usiyoyajua...Ukraine inayo Navy yenye wanajeshi 15,000, kamanda wao ni Vice admiral Oleskiy Neizhpapa. Na kwa kukusaidia tu wana warships kumi na sita.

Btw: Urusi imeshakula maelfu ya vichwa vya wanajeshi hao + meli hizo kibao.

Screenshot_20220827-064756_Chrome.jpg

Screenshot_20220827-071002_Gallery.jpg
 
Dogo acha kuropokaropoka hovyo mambo usiyoyajua...Ukraine inayo Navy yenye wanajeshi 15,000, kamanda wao ni Vice admiral Oleskiy Neizhpapa. Na kwa kukusaidia tu wana warships kumi na sita.

Btw: Urusi imeshakula maelfu ya vichwa vya wanajeshi hao + meli hizo kibao.

View attachment 2336003
View attachment 2336008
Fanya utafiti kabla ya kuleta habari zako,Russia alipoanza uvamizi wake Ukraine walizamisha wenyewe Meli zao za kivita wakiogopa kwamba zitatekwa au kulipuliwa pia waliona jeshi Lao la maji lisingeweza kupambana na jeshi kubwa la Maji kama la Russia

Why did Ukraine sink its own ship?
Purposefully destroying the Hetman Sahaidachny was a difficult decision for the Ukrainian army leaders to take, but they couldn't risk Russian forces taking control of it.

While losing control of the frigate would have been a strategic blow in the war, it would also have been a major propaganda win for Russia and the Ukrainian authorities decided that they couldn't afford to let that happen.

Ukraine sinks its best battleship, so that Russia can't take it
 
Anaongeaga Vumbi huyu jamaa mbona Ukraine hana Navy sasa hv ana boat za Patrol tu

Na Boat zinakua operated na watu si zaidi ya watano dereva Machine gunner na askari wa ziada

Kuwaua askari wa ukraine watatu utahitaji mizinga zaidi ya 100 kwa Ukrusi

Lakini kuwaua Warusi 200 utahitaji Tochka 1 rejea Moskav Battle ship

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
SmartSelect_20220827-215324_Chrome.jpg
SmartSelect_20220827-215336_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom