Sasahivi kuna AJUZA kama wanne hivi ambao hata ukisoma post zao unagundua ni watu wenye IQ ndogo sana. 1. HIRMAS .2. VUNJO. 3. FUSO 4. KP. KIPANYA 44Umenikumbusha mbali sana...kuna 'ajuza' mmoja hivi hapa JF ndio ilikuwa hoja yake kila akichangia kwenye mada za vita vya Ukraine...Baadae ikabainika kuwa kumbe yule ajuza ni mweupe mno 'upstairs'
Ukraine ni ya 28 Kwa nguvu ya kijeshi duniani?au unaongelea Ukraine gani?Ukraine hawana Meli za kivita,Wana viboti ambavyo vinafanya patrol vikiwa na machine gun tu hata Makombora havina.
NB:
Ukraine ndo nchi pekee duniani isiyokuwa na Navy lakini ikafanikiwa kuzamisha Meli ya kisasa ya adui, flagship of black sea a.k.a MOSKVA.
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Hivi ni vita vya dikteta Putin View attachment 2335662
Kwani marekani kaanza kupeleka silaha kabla ya Vita? [emoji16]Marekani aache mara moja kupeleka silaha Ukraine ili vita iishe na watu waache kuuliwa.
Hakika mtumishi.😄😄Kakojoe ulale huyawezi hata mambo
😄😄😄 ajuza hua anabishana mpk na yule colonel mstaafu wa jeshi la US aitwae McGregor.Umenikumbusha mbali sana...kuna 'ajuza' mmoja hivi hapa JF ndio ilikuwa hoja yake kila akichangia kwenye mada za vita vya Ukraine...Baadae ikabainika kuwa kumbe yule ajuza ni mweupe mno 'upstairs'
5; kilanja wao watery.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasahivi kuna AJUZA kama wanne hivi ambao hata ukisoma post zao unagundua ni watu wenye IQ ndogo sana. 1. HIRMAS .2. VUNJO. 3. FUSO 4. KP. KIPANYA 44
Hayo ni malalamiko au taarifa?Si mara ya kwanza huyu kulalamika.
Hivi ni vita vya dikteta Putin View attachment 2335662
Ni uzezeta wa akina February Ropes, mafuta ya bei chei yako Urusi.Ewe mkuu omba hii vita iishe mkuu, tunaoumia ni mimi na wewe zaidi kuliko hao wanaopigana, crude oil ilikua inashuka below 100usd per barrel, sasa imeanza kupanda tena,tunaelekea kwenye 4k kwa Lita ya petrol, a chili mbali kuhusu unga wa ngano na cooking oil
Kwamba Rwanda wanayo navy Force?Ukraine hawana Meli za kivita,Wana viboti ambavyo vinafanya patrol vikiwa na machine gun tu hata Makombora havina.
NB:
Ukraine ndo nchi pekee duniani isiyokuwa na Navy lakini ikafanikiwa kuzamisha Meli ya kisasa ya adui, flagship of black sea a.k.a MOSKVA.
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Wanadai kaaribu vifaru vingi sana vya RussiaMwenye nguvu haongei anafanya yake Sasa tangu Vita imeanza zelenksi amefanya nini cha kushanza Kwa urusi
Rwanda walizamisha Meli ya Nani?!Kwamba Rwanda wanayo navy Force?
Dogo acha kuropokaropoka hovyo mambo usiyoyajua...Ukraine inayo Navy yenye wanajeshi 15,000, kamanda wao ni Vice admiral Oleskiy Neizhpapa. Na kwa kukusaidia tu wana warships kumi na sita.Ukraine hawana Meli za kivita,Wana viboti ambavyo vinafanya patrol vikiwa na machine gun tu hata Makombora havina.
NB:
Ukraine ndo nchi pekee duniani isiyokuwa na Navy
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Fanya utafiti kabla ya kuleta habari zako,Russia alipoanza uvamizi wake Ukraine walizamisha wenyewe Meli zao za kivita wakiogopa kwamba zitatekwa au kulipuliwa pia waliona jeshi Lao la maji lisingeweza kupambana na jeshi kubwa la Maji kama la RussiaDogo acha kuropokaropoka hovyo mambo usiyoyajua...Ukraine inayo Navy yenye wanajeshi 15,000, kamanda wao ni Vice admiral Oleskiy Neizhpapa. Na kwa kukusaidia tu wana warships kumi na sita.
Btw: Urusi imeshakula maelfu ya vichwa vya wanajeshi hao + meli hizo kibao.
View attachment 2336003
View attachment 2336008
Anaongeaga Vumbi huyu jamaa mbona Ukraine hana Navy sasa hv ana boat za Patrol tu
Na Boat zinakua operated na watu si zaidi ya watano dereva Machine gunner na askari wa ziada
Kuwaua askari wa ukraine watatu utahitaji mizinga zaidi ya 100 kwa Ukrusi
Lakini kuwaua Warusi 200 utahitaji Tochka 1 rejea Moskav Battle ship
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hujui hata maana ya 'navy' pungu2ni wewee, ndio utaweza kujua maana ya ship?!...hata Tanzania nayo ina navy sembuse UkraineNenda kwanza kwa Ras Simba ukajue kutofautisha kati Ya Boat na Ship
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app