Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kiranga - a child molester, nani hapo mtoto?
Punguza chumvi kijana!
Nakuonyesha kwamba Kikwete anavyomfokea huyu mtu wa wilaya kuna forces ziko so disproportionate ni sawa na mtu mzima kum molest mtoto mdogo asiye na defence.
Kama Kikwete kweli anakerwa na maovu mbona kuna makubwa ya size yake kibao ma EPA na Meremeta huko? Haya si angewaachia watu wa level zinazohusika wa deal nayo tu?
Hapa anaua nzi kwa kutumia missile, this is so disproportionate, ndiyo maana nikasema Kikwete hapo anakuwa kama child molester.
Sasa wewe hapo hapo unauliza swali kama hujui halafu hapo hapo ushapass judgement.
Kikwete ni a highhanded usurping Draconian mangimeza, na hajaanza leo, ndio maana wakulima walimpiga mawe Mbeya huko na yule mchizi wa Mwanza alimpiga mtama.
Bisha!