Uuuwiii Uuuuwwiiiii Uuuwiii Uuuwiii Uuuuwwiiiii Uuuwiii Uuuwiii Uuuuwwiiiii View attachment 1070768
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tumepambana sana top 10 ranking hatukosekani malengo yetu yamefika ...subiri next time tutakua na malengo mazuri zaidiWenye vichwa vya panzi wanafanya karamu kufurahi Simba kutolewa,ila tu wanasahau kama Simba hii tishio imetolewa hatua ya robo fainali kwenye ligi kubwa kuliko zote Afrika. Imetolewa zikiwa zimebaki timu babe nane tu kati ya timu makumi zilizoanza hatua ya mchujo
Halafu imetolewa baada ya kuwafyeklea mbali wakali wenzie Nkana Fc, AS Vita na JS Saoura
Ingewezekanaje timu zote 8 ziende nusu?No,lazima kuna timu nne ziishie hapo,kama ambavyo Club bora kuliko zote Africa Al Ahl inaweza kutolewa usiku wa leo
Ikumbukwe zaidi kuwa tulijiwekea malengo saafi ya kufika hatua ya makundi,kwa hiyo wewe kichwa panzi jua hii ni Simba iliyovuka malengo
Kwa lugha rahisi Simba imeondoka kwenye level za Yanga imechumpa juu. Yanga atabaki kuwa mtani wa jadi tu
Ligi si aina kama matakwa ako. Ndo maana 'ome and away!"Hapa ndipo tunapokosea. Simba amecheza klabu bingwa afrika na hakucheza na Azam, Lipuli, mbao wala Yanga. Kipimo chake ni Klabu bingwa Afrika. Hesabu za Simba zimekuwa za hovyo sana hasa alipotegemea uwanja wa nyumbani tu. Ni hiviiii, ingekuwa ni mashindano ya mtoano kuanzia game one basi ni dhahiri simba angemtoa AS Saoura tu maana mechi dhidi ya wapinzani wake wengine kachapika sawasawa. Hii timu ibadilishe falsafa na iachane mtazamo wa kinyumbani. Pole sana wana Msimbazi
Sent using Jamii Forums mobile app