Ikumbukwe Simba SC imetolewa hatua ya robo fainali Club Championship

Ikumbukwe Simba SC imetolewa hatua ya robo fainali Club Championship

Tuliitwa under dog.. robo fainal inatosha kwa uwezo wetu, aibu wanaona wale kamwenee
 
Nadhani faraja zisizo na tija hazijengi.Kuna jambo ambalo watu hawasemi ukweli , Simba imefungwa magoli rahisi kuliko timu nyingi. Ndiyo, Simba imefika robo fainali LAKINI katika match dhidi ya Mazembe iwapo Simba ingekuwa na kocha kama yule wa Sundon au yule mfaransa aliyeondoka mwaka jana Simba ingeweza shinda match au kufungwa kwa Small margin.Kocha ameshindwa kutengeneza water tight defence hebu angalia Simba away record kuanzia group stage ya kufungwa 16 : 1, hiyo sio sawa.Siandiki kama mnazi wa Yanga au Simba lakini kama mtanzania anayeipenda nchi yake.Najaribu kuota match Simba vs Al Masiri kule Misiri (Last year) ambapo matokeo yalikuwa 0:0 pia .najaribu kuota match ya Yanga Vs Timu ya Zimbabwe sometime back iliyochezwa Harare matokeo : 2 for Yanga na mwisho Match Uganda crane Vs Taifa star kule Uganda matokeo 0 :0. Hizi match tatu hapo juu zinaonyesha pakiwapo na mipango Timu za Tanzania zinaweza kushinda away au kushindwa kwa magoli machache.Samahani kwa kuandika Gazeti LAKINI naomba MO alisome.Kabla ya ku comment maoni yangu soma kila neno kwa makini.Ahsante
 
Wenye vichwa vya panzi wanafanya karamu kufurahi Simba kutolewa,ila tu wanasahau kama Simba hii tishio imetolewa hatua ya robo fainali kwenye ligi kubwa kuliko zote Afrika. Imetolewa zikiwa zimebaki timu babe nane tu kati ya timu makumi zilizoanza hatua ya mchujo

Halafu imetolewa baada ya kuwafyeklea mbali wakali wenzie Nkana Fc, AS Vita na JS Saoura

Ingewezekanaje timu zote 8 ziende nusu?No,lazima kuna timu nne ziishie hapo,kama ambavyo Club bora kuliko zote Africa Al Ahl inaweza kutolewa usiku wa leo

Ikumbukwe zaidi kuwa tulijiwekea malengo saafi ya kufika hatua ya makundi,kwa hiyo wewe kichwa panzi jua hii ni Simba iliyovuka malengo

Kwa lugha rahisi Simba imeondoka kwenye level za Yanga imechumpa juu. Yanga atabaki kuwa mtani wa jadi tu
mkuu tumepambana sana top 10 ranking hatukosekani malengo yetu yamefika ...subiri next time tutakua na malengo mazuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo tunapokosea. Simba amecheza klabu bingwa afrika na hakucheza na Azam, Lipuli, mbao wala Yanga. Kipimo chake ni Klabu bingwa Afrika. Hesabu za Simba zimekuwa za hovyo sana hasa alipotegemea uwanja wa nyumbani tu. Ni hiviiii, ingekuwa ni mashindano ya mtoano kuanzia game one basi ni dhahiri simba angemtoa AS Saoura tu maana mechi dhidi ya wapinzani wake wengine kachapika sawasawa. Hii timu ibadilishe falsafa na iachane mtazamo wa kinyumbani. Pole sana wana Msimbazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi si aina kama matakwa ako. Ndo maana 'ome and away!"
Watateseka sana waleee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom