johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tumaelezo twenyewe hatuendi hata na tupicha picha🤔Taarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale
Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani utakula nyomi
Dominica njema!
Binadam mwenye akili timamu lazima ujipe muda wa kutofatisha kati ya chadema chama cha waganga njaa na walamba asali na CCM chama cha ukombozi kwa watanzania.Taarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale
Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani utakula nyomi
Dominica njema!
Picha baada ya Ibada ya piliTumaelezo twenyewe hatuendi hata na tupicha picha🤔
Taarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale
Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani utakula nyomi
Dominica njema!
Nimekuelewa sanaBinadam mwenye akili timamu lazima ujipe muda wa kutofatisha kati ya chadema chama cha waganga njaa na walamba asali na CCM chama cha ukombozi kwa watanzania.
Chama chukua chako mapema labda kufananishwa na shetani tu,ndio wanaweza angalao kufanana🤔Nimekuelewa sana
Wewe unadhani Chadema siyo mali ya Shetani?Chama chukua chako mapema labda kufananishwa na shetani tu,ndio wanaweza angalao kufanana🤔
Tusubiri muda ufikeTaarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale
Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani utakula nyomi
Dominica njema!
Wajinga ni mtaji wa mbogamboga fcBinadam mwenye akili timamu lazima ujipe muda wa kutofatisha kati ya chadema chama cha waganga njaa na walamba asali na CCM chama cha ukombozi kwa watanzania.
Wapinzani wataunga unga picha za 2015 enzi za Lowasa waonganishe na za leo ili kuhadaa umma wa wasiotambua siasa uchwara. Hiyo ni kawaida yao
Kanisa ni mwili wa Kristo!Wewe jamaa sometimes uwe unaenda kanisani basi
Karibu!CHAMA cha MAUAJI (CCM) kinatutia kichefuchefu IKUNGI