Pre GE2025 Ikungi Singida: Mzee amtabiria Tundu Lissu kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
"Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka wilayani Ikungi Mkoa wa Singida.

Soma Pia: - Kuelekea 2025 - Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

Akipitushwa na Chama chake kugombea na uchaguzi ukawa huru na haki, uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
 
Lisu awe rais ili akauze nchi yetu vizuri kwa Acacia?
 
Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!

Lisu afundishwe kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.

Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
 
Mke wa Hafidhi ana shida 3:-
1. Siyo raia wa Tanganyika.
2. Hayuko vizuri upstairs.
3. Anawaza kuuza rasilimali za Tanganyika.
 
Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!

Lisu afundishwe kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.

Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
Uchumi kazungumzie wewe na kizmkaz, mlikua uchumi wa kati saiv mko uchumi wa ngani wewe bwabwa la magufuli
 
"Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka wilayani Ikungi Mkoa wa Singida.

Soma Pia: - Kuelekea 2025 - Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

duh。。。!, kama ndio hivi ameisha tabiriwa na wazee,basi ngoja tumshauri nanilii asigombee!
p
 
Back
Top Bottom