Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Anauhakika atapitishwa na mkutano Mkuu wa Chama?kutoka wilayani Ikungi Mkoa wa Singida.
Kajifunze kuandika kwanza kahaba weweUna uhakika huyo mzee ana hakili timam
Akipitushwa na Chama chake kugombea na uchaguzi ukawa huru na haki, uwezekano wa kushinda ni mkubwa."Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka wilayani Ikungi Mkoa wa Singida.
Soma Pia: - Kuelekea 2025 - Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?
Nimeeleweka lakini wewe changuKajifunze kuandika kwanza kahaba wewe
Mke wa Hafidhi ana shida 3:-Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Uchumi kazungumzie wewe na kizmkaz, mlikua uchumi wa kati saiv mko uchumi wa ngani wewe bwabwa la magufuliShida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwe kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
duh。。。!, kama ndio hivi ameisha tabiriwa na wazee,basi ngoja tumshauri nanilii asigombee!"Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka wilayani Ikungi Mkoa wa Singida.
Soma Pia: - Kuelekea 2025 - Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?