Bora nguruwe waweza mla nyama... dah nimenikumbuka ugali roast pale migombani survey...Mbona ni jina la kawaida sana mdada....!?
Sasa Ikwiriri na Nanguruwe lipi jina lenye afadhali.
Una msaada wowote tafadhali.!?
Hiyo 'Na' ni kiambishi tu, mzizi wa neno ni nguruwe...Soma vizuri,sio Nguruwe,ni Nanguruwe mkuu.
Kuifahamu mimi naifahamu ipo ktk wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani,nenda pale Mbagala Rangi 3 karibu na Dar Live kapande magari ya Ikwiriri ukamkamte mwenyewe huyo unaemtafuta.