Ikwiriri sekondari

Ikwiriri sekondari

Gyn A-B

Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
37
Reaction score
9
Habari zenu wakuu.
Labda niende moja kwa moja kwenye mada yangu ambayo ndiyo shida yangu kimsingi.
Kuna yeyote anayeifahamu au anahusika kwa namna moja au nyingine katika shule tajwa hapo juu.!?

Nina tatizo kubwa sana kuhusu mtu mmoja ambaye ni mfanyakazi wa shule hiyo,siwezi kuanika kila kitu hapa kwa ajili ya unyeti wa muhusika na habari yenyewe.
Kwa yeyote ambaye ana mtu wa karibu au yeye mwenyewe kwa namna moja au nyingine katika shule hiyo tafadhali tuwasiliane pliz.
 
Mbona ni jina la kawaida sana mdada....!?
Sasa Ikwiriri na Nanguruwe lipi jina lenye afadhali.
Una msaada wowote tafadhali.!?
Bora nguruwe waweza mla nyama... dah nimenikumbuka ugali roast pale migombani survey...
 
Kuifahamu mimi naifahamu ipo ktk wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani,nenda pale Mbagala Rangi 3 karibu na Dar Live kapande magari ya Ikwiriri ukamkamte mwenyewe huyo unaemtafuta.
 
Kuifahamu mimi naifahamu ipo ktk wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani,nenda pale Mbagala Rangi 3 karibu na Dar Live kapande magari ya Ikwiriri ukamkamte mwenyewe huyo unaemtafuta.

Ahsante sana kwa maelezo Makamee
Shida yangu nimpate mtu yoyote anayehusika pale.
Nadhani hapa jamvini kunaweza kuwepo na wahusika wa shule hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom