Yaani we acha tu๐ฅด๐ฅดKwahiyo mkuu baridi inawasha appetite as if kuna cooker ndani ya mwili wako.?? ๐
Anyways mkuu kama wewe ndo huyo hapo, itoshe kukwambia nimekipenda hicho kidole gumba hapo ๐ค
Kama kidole chenyewe kiko soft na round hivyo, how about the whole package? Hapo lazima kuna uzuri wa ajabu umejificha full body! ๐Yaani we acha tu๐ฅด๐ฅด
Kimefanyaje kidole?,.
Thanks anyways...
Umeandika kiutu uzima sana wakubwa tushakuelewa!..Wakuu habari ya leo,.
(Chit-chats and jokes)
Leo em mniambie kwanza Kuna uhusiano gani kati ya hali ya hewa (baridi) na kula sana. kipindi cha baridi nakuwa njaa mda wote,. Yaani nakula kama kiwavi๐
Mfano leo,. Wakati natoka nyumbani nlikunywa uji mandazi mawili nikachukua na maziwa mtindi na maji nikajiambia hapa nishashiba maziwa mtindi na maji yatanisogeza Hadi jioni nitarudi kula nyumbani,. Mwe!๐
Picha linaanza kabla ya sa3 njaa ikaanza kuuma nikanywa maziwa yote haijapita hata nusu saa najiona kama sijala kitu nikaagiza supu nimekunywa,. Nikanywa na maji mengi lakini sa6 sita sa7 njaa tena ikaniuma, nikaagiza chips nimekula nimekunywa maji meengi lakini tumbo naliona liko empty .. Saizi Tena nimekula parachichi na yogurt nimemaliza lakini Bado naona kama tumboni Kuna vitu vinacheza vinaniambia inabidi Nile tena maskini๐ญ๐View attachment 3366943
Dawa za minyoo nazinywa sana lakini hali naona Bado,. Nashindwa kujizuia kula .. Anayejua tatizo nini please au ndio baridi??
๐ si ndiyo , japo umejitahidi kuuficha uzuri wote uliojaaliwa lakini umesahau hicho kidogo kukificha pia.Wacha wewe๐,.
Shauri zako
Walau kidogo nimekuelewaWakati wa baridi mwili unahitaji joto zaidi, na ina maana metabolism inachukua nafasi kwa sehemu kubwa, hivyo unavyo kula ndipo metabolism inachukua nafasi kubwa zaidi na kuzalisha ATPs nyingi ndani ya mwili, kumbuka hupotezi joto Ila unatunza joto unatunza vipi ? Lazima upate vyakula
Wataalamu wataongezea
cc Dr am 4 real PhD
Unaitaka!..๐Kwambaaa.....??
Umeelewa Nini kenzy?
"Mipango bila pesa nikelele." by KENZYUmeandika kiutu uzima sana wakubwa tushakuelewa!..
Nakuja baby wangu wa mtandaoni
Naaam madamWalau kidogo nimekuelewa