Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kulaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ....

Mkuu kwa hivyo vyakula? Ni halali kabisa.

Maandazi mawili πŸ‘€
Chipsi πŸ‘€
Yoghurt πŸ‘€
Parachichi πŸ‘€

Hivyo vyafaa kua vionjo, asubuhi piga Uji wa ulezi na Mkate wa ngano, Magimbi, Mang'amba au mihogo.

Mchana dona la nguvu au wali wa kutosha + mboga7 + matunda + maji.

Hivyo ulivyovitaja ni viburudisho vya kujazia jazia kama ukipenda.

Njaa utaisikia tu!!
 
Huenda kweliπŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…