Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Wazamiaji wa chumvini wameniandama 😂Vijana umewafanyaje mbona wanakuamshia mkuu😅😅nilikuwa nafuatilia tu conversation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazamiaji wa chumvini wameniandama 😂Vijana umewafanyaje mbona wanakuamshia mkuu😅😅nilikuwa nafuatilia tu conversation
Baala 🤣Wataleta vipi shida wakati machine ni pikipiki ya boxer?
Chochote unachoongea inabidi ulinganishe chumvini na bodaboda! Kama mada inavyosema
'Ila bodaboda ni baala'
Mod kalewa au hajui kuandika😂Baala 🤣
Imenibidi kurechek heading ya uzi
Pia n kwa ajili ya kusema kitu flani sifanyi ila ukiwa ndani na mwenzio kuna mengine makubwa unafanya, ila hadharani unaficha mana wakati unafanya hakuna aliyekuwa anakuona 😂Pia mdomo ni kwa ajili ya kuongea na bodaboda kubargain bei
Comments za vijana Wazamiaji chumvini zimemchanganya 😂Mod kalewa au hajui kuandika😂
Itakuwa Mod mpya.Mod kalewa au hajui kuandika😂
Unadhani humu jf tupo serious sasa?Pia n kwa ajili ya kusema kitu flani sifanyi ila ukiwa ndani na mwenzio kuna mengine makubwa unafanya, ila hadharani unaficha mana wakati unafanya hakuna aliyekuwa anakuona 😂
Ngoja nipambane na hawa vijana 😂😂😂🙌🏾
Hata ww nikikubeba lazima nizingatie unene wako ili usije kunishinda uzito ukanipeleka mtaronUnadhani humu jf tupo serious sasa?
Mimi naongeaga chochote kutokana na mood yangu! Wewe chumvini nenda kachimbe kila kitu hadi madini
Muhimu uhakikishe unapobeba mizigo kwenye bodaboda zingatia uzito
Kumbe uliniona selfika!?Hata ww nikikubeba lazima nizingatie unene wako ili usije kunishinda uzito ukanipeleka mtaron
Hii comment yako mkuu inahusisha D mbili? 😂Wataleta vipi shida wakati machine ni pikipiki ya boxer?
Chochote unachoongea inabidi ulinganishe chumvini na bodaboda! Kama mada inavyosema
'Ila bodaboda ni baala'
Huwezi ukawa ndani ya bodaboda.Kumbe uliniona selfika!?
Nikiwa ndani ya bodaboda nimepanda mishkaki
Na ule ubonge wako uliwaumiza sana mwenzako pamoja na afisa usafirishaji mwenzanguKumbe uliniona selfika!?
Nikiwa ndani ya bodaboda nimepanda mishkaki
Kwa mandhari ya huu uzi......halaf tena unapelekwa mtaroni na da bonge.........Hata ww nikikubeba lazima nizingatie unene wako ili usije kunishinda uzito ukanipeleka mtaron
Mambo yamevurugika 😂Shit
Mambo yanazidi kuwa moto, muda sio mrefu uzi unabadilika tena utakuwa unahusu mtaroni 😂Kwa mandhari ya huu uzi......halaf tena unapelekwa mtaroni na da bonge.........
Unamaanisha hata akiamua kutafuna hilo kopo la chumvi kama amepata kitimoto atafune tu maamuzi ni yake 😅Unadhani humu jf tupo serious sasa?
Mimi naongeaga chochote kutokana na mood yangu! Wewe chumvini nenda kachimbe kila kitu hadi madini
Muhimu uhakikishe unapobeba mizigo kwenye bodaboda zingatia uzito
Na ule ubonge wako uliwaumiza sana mwenzako pamoja na afisa usafirishaji mwenzangu
Mada imeama imekua da bonge😂Mambo yanazidi kuwa moto, muda sio mrefu uzi unabadilika tena utakuwa unahusu mtaroni 😂