Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

Watu wa Dar es salaam tunaamini kama Mungu angekuwa anaishi hapa kuna baadhi ya watu tusingekufa. Kama huna michongo Dar utalala wapi? Hapa hatutumii nguvu bali ni akili
 
Kumbe msambaa ndo maana walikuwa wanakurushia mkuu.
 
Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala
Hahah ukikutan na hali hii huku umechoka unaweza kulia hadi machoz🤣i
 
Kwa hiyo unataka utoke porini huku uje kutumbua pesa za wenzako? Dar watu wanaishi kwa mahesabu sio uroke na ushamba wako huko uje kututisha
 
We jamaa Una Chuki na Watu wa dar
 
Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!
 
Kwq hio ulifikiri daslam watu wanaokota hela ? Kwamba kazi nje nje ? Maisha safi ? Rudi kwenu huko ulikozoea ukalime , hakuna pesa rahisi
 
Huo mji una wenyewe,ni mji uliojaa hekaheka nyingi sana,cha muhimu pamoja na mteso na hekaheka nyingi mwisho wa siku mtu anarudi kwake na pesa,kwahiyo focus yako iwe kwenye pesa zaidi ndio utaweza kuishi kwa raha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…