Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

Pamoja na yote, huko Dar natamani sana siku moja nami nifike, kila nikipaona dar kwa tv hua navutiwa napo sana. Kuna mahali Naskia panaitwa koko beach watu hufika hapo kupoza mwili, itakuwa ndo sehemu ya kwanza kwenda
 
dar imejaa fursa nyingi sana...anzia magogoni mpaka mabibo soko la ndizi, dar haihitaji mabishoooo.....
 
T.R.A yao hapo ni 90,000
 
Pamoja na yote, huko Dar natamani sana siku moja nami nifike, kila nikipaona dar kwa tv hua navutiwa napo sana. Kuna mahali Naskia panaitwa koko beach watu hufika hapo kupoza mwili, itakuwa ndo sehemu ya kwanza kwenda

Mkuu. Mm pia sijafika Dar.
ukiwa unaenda Dar naomba niambie tujumuike wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…