Ila Dr Dre ni hatari sana

Ila Dr Dre ni hatari sana

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Kuna hii ngoma ya miaka kama 12 iliyopita ya Chris Brown ft Dr Dre, haikuwika sana ila bonge la ngoma beat yake naielewa kinoma kama nnavyoelewa I need doctor.

Muziki wa sasa hata siuelewi nyimbo sinazomiburudisha ni zile za miaka ya nyuma. Huenda nashazeeka
 
They want to know if he still got it
They say rap's changed
They wanna know how I feel about it
(If you ain't up on thangs)

Still taking my time to perfect the beat
Its D.R.E​
 
Tokea nilivyo sikia beat alizo zigonga Scott Storch, Dre nimempa nafasi ya pili.
 
Umenifanya niuski(li)ze tena, maana huwa nauski(li)zaga mara kwa mara
 
Tokea nilivyo sikia beat alizo zigonga Scott Storch, Dre nimempa nafasi ya pili.
Storch hagongi beat...anachofanya ni kutengeneza melody, lead instrumental ya keys na keys za Chords.

Rejea kipindi kile Bizman kwa P Funky au Said Chomolee (sijui nimepatia jina lake)

Instrumentation ya beat na keys arrangments ni zaidi ya Kicks na Snares.

Nakaribisha mapovu kwa maproducers uchwala wa kibongo.
 
Unaifahamu production discography yake lakini?..
 
Naona wataalam mnabishana
#stillDre#
 
Back
Top Bottom