Beat ya Scott Storch ndio balaa kwenye hiyo Ngoma.They want to know if he still got it
They say rap's changed
They wanna know how I feel about it
(If you ain't up on thangs)
Still taking my time to perfect the beat
Its D.R.E
Storch hagongi beat...anachofanya ni kutengeneza melody, lead instrumental ya keys na keys za Chords.Tokea nilivyo sikia beat alizo zigonga Scott Storch, Dre nimempa nafasi ya pili.
Unaifahamu production discography yake lakini?..Storch hagongi beat...anachofanya ni kutengeneza melody, lead instrumental ya keys na keys za Chords.
Rejea kipindi kile Bizman kwa P Funky au Said Chomolee (sijui nimepatia jina lake)
Instrumentation ya beat na keys arrangments ni zaidi ya Kicks na Snares.
Nakaribisha mapovu kwa maproducers uchwala wa kibongo.
Ilikuwa ni co-production ya Scott na Dre. Actually Scott alipiga piano tu kwenye huo wimbo. Ni kama alivyopiga piano kwenye "Let Me Blow Your Mind" au "Cry Me A River".Beat ya Scott Storch ndio balaa kwenye hiyo Ngoma.