ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Rais gani unaogopa kutaja majina ya wauzaji wa madawa tu ya kulevya unaishia kusema Tu wakina Fulani hata makonda anakushinda anathubutu kuwataja.Au mafisadi unafanya nao bargain Khaa badala ya kuwafunga yaani unashindwa kufunga watu wasiozidi 500 ili uokoe watu million 50?
Rais gani unawajua kabisa adui zako na wa TAIFA unaishia kuungana nao badala ya Kuwa eliminate mapema mpaka wanakuwahi wewe .Mimi nataka aje atokee rais Fulani kauzu zaidi ambaye watu wataisoma namba kwelikweli mpaka wajulikane mbele ya umma so magufuli kwangu bado alijaribu Tu ila Katika maraisi wote nampa 40% za kujaribu ipo siku kitatokea chuma ambacho kikifanya hata 90% ya kubana na kuachia Siri zote mambo yatakaa Sawa.