Ila hawa watu (CCM) wanashawishi, yaani utajikuta unachukua Kadi bila kulazimishwa

Ila hawa watu (CCM) wanashawishi, yaani utajikuta unachukua Kadi bila kulazimishwa

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Jamani tuache utani, hawa watu (CCM) wanashawishi, hebu tazama hii picha;👇 yaani utajikuta unawapost tu kwasababu ndogo ndogo.

Unajua kizuri kinajiuza...hebu nisiandike sana tazama hii picha inavyoshawishi kuchukua kadi, unaweza kujikuta unaiprint na kuiweka sebuleni👇
714a0ee264e444479bbd7dbadcb663c4.jpg
 
Mkuu, na kwenye chama kile kingine walikuwa wanarusha za hivyo enzi zile za mwenyekiti milionea. Sasa hivi zimekata kwa sababu ukata umebamba kinoma chamani.
 
Back
Top Bottom