Right Marker Senior Member Joined Apr 30, 2018 Posts 194 Reaction score 625 May 11, 2025 #1 Jamani tuache utani, hawa watu (CCM) wanashawishi, hebu tazama hii picha;👇 yaani utajikuta unawapost tu kwasababu ndogo ndogo. Unajua kizuri kinajiuza...hebu nisiandike sana tazama hii picha inavyoshawishi kuchukua kadi, unaweza kujikuta unaiprint na kuiweka sebuleni👇
Jamani tuache utani, hawa watu (CCM) wanashawishi, hebu tazama hii picha;👇 yaani utajikuta unawapost tu kwasababu ndogo ndogo. Unajua kizuri kinajiuza...hebu nisiandike sana tazama hii picha inavyoshawishi kuchukua kadi, unaweza kujikuta unaiprint na kuiweka sebuleni👇
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,430 Reaction score 7,030 May 11, 2025 #2 Imekushawish ww na mmeo labda ...
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 2,661 Reaction score 5,583 May 11, 2025 #3 Kama unashawishika rahisi hivyo #Utakuwa_Mboga_Ya_Masela.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 11, 2025 #4 Ww n mwanaccm acha kujivutavuta, nyie ndo mnadanganywa kwa kanga
S super hero1 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2024 Posts 2,339 Reaction score 1,888 May 11, 2025 #5 RO7 ZA MGOS said: Imekushawish ww na mmeo labda ... Click to expand... Mbona hasira ndugu??
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 3,700 Reaction score 9,570 May 11, 2025 #6 Kuwa makini mkuu ukishawishika kirahisi na mambo kama hayo utaliwa na kulumangiwa kavu kavu.
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 10,047 Reaction score 9,346 May 11, 2025 #7 Mkuu, na kwenye chama kile kingine walikuwa wanarusha za hivyo enzi zile za mwenyekiti milionea. Sasa hivi zimekata kwa sababu ukata umebamba kinoma chamani.
Mkuu, na kwenye chama kile kingine walikuwa wanarusha za hivyo enzi zile za mwenyekiti milionea. Sasa hivi zimekata kwa sababu ukata umebamba kinoma chamani.
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,921 Reaction score 3,390 May 11, 2025 #8 Upuuzi