Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
According to .......?Sukari iko kibao bandarini Ndio inashushwa 🐼
TPAAccording to .......?
Not by your observation! Tehe tehe!
Wauza sukari ndiyo wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM taifa hakuna la maana litafanyikaSijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda kesho itapatikana ya kutosha na bei itashuka lakini kesho inakuwa kesho na tena na tena.
Zero brain ndiyo anahangaika na matatizo ya wananchiNchi iko salama mikononi mwa walanguzi.
Mengine ameachiwa Shite-man ahangaike nayo na kuigiza.
TPA wameelezea kwa kirefu jana pale TBCNot by your observation! Tehe tehe!
Mbege na Chai?Sijui mara ya mwisho kunywa chai ilikuwa lin...
Mkuu hadi supermarket kubwa hazina sukari, wanasema sukari sasa imekuwa kama biashara ya magendo...... hiki ni kituko cha karne.Sijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda kesho itapatikana ya kutosha na bei itashuka lakini kesho inakuwa kesho na tena na tena.