Punguza roho ya kwanini ww zunguka Tz nzima hii beach nzuri utazikuta Zanzibar tu bahari zinatunzwaKuhusu Zanzibar huwa najiuliza Wazungu wanakuja kutafuta nini huku.
Zaidi ya Beach ambayo ni natural hakuna kitu kingine kinachovutia
Mkuu,Binadamu hua anatabia ya kupenda au kushangaa kitu ambacho hana au kitu ambacho kwao hakipo,Kuhusu Zanzibar huwa najiuliza Wazungu wanakuja kutafuta nini huku.
Zaidi ya Beach ambayo ni natural hakuna kitu kingine kinachovutia
acha ujinga ww majitu ya ccm bhana yan umaskin wa watz kwenu n fursa ujinga wa watz kwenu n fursa ya kuwatawala we fala unaweza ukaish maisha wanayoish waadzabe ww eti ksa wapo uko karne na karne..uwepo wa watu mahali si kgezo cha kwmb pako tu vzr ndo maana wapo.Kwani wanaishije huko? Karne na karne watu wapo. Wanazaliwa wanazeeka na wanakufa? Unasema hakuna kitu?
Tanzania ni Nchi nzuri sana tena sana ukitembea utaelewaLakini naona vita dhidi ya umasikini tumeishindwa kabisa. Nchi kubwa, resources nyingi ila inasikitisha. Tushukuru Mungu Bongo wananchi wake wavumilivu, wengi wanaonekana kuwa na furaha tu
We jamaa wewe akili yako ni kupiga ulabu tu muda wote unawaza tungi tuKisarawe hapo ndanindani huko kwenda site niliwai kukuta mtu zinakula gongo ka maji.watu wako zao kivyao wanapiga mtungi mwitu.
Nikaona hapa kuelewana wajue mwana jirani ni kujiunga tu tulikaa piga round kisado,"mamuuza leta weka hapo"ongeza mpaka wote tukachakaa😅😅😅
Piga Story hapo moto,nilikuta week imeisha niko kule kijijini.
Hitma ntahamia kule
Tanzania ni nchi nzuri kwenye Nature, lakini vitu vilivyojengwa na binadamu hakuna uzuri wowoteTanzania ni Nchi nzuri sana tena sana ukitembea utaelewa
Anza kwanza kuukimbiza umaskini kwenye FAMILY LEVEL.Umri bado mdogo, sikidhi vigezo. Ila natamani sana nipewe hii nchi, haki ya Mungu umasikini ningeupunguza kwa kiasi kikubwa. Hii si sawa kabisa
Hewa safi sana huko Tanzania vijijini aisee Tanzania nzuri sana, vijumba vibaya ila hali ya hewa safi kabisa nature imeibariki TanzaniaTanzania ni nchi nzuri kwenye Nature, lakini vitu vilivyojengwa na binadamu hakuna uzuri wowote
Lakini decades nyingi zimepita mkuu, si tuna miaka 60+ ya uhuru?Anza kwanza kuukimbiza umaskini kwenye FAMILY LEVEL.
Your still young ulikua utagundua ilivyo ngumu ku ufukuza umaskini katika national level it takes decades
Wanasema development takes timeTanzania kweli ni bado nchi masikini sana na maendeleo inapiga hatua kwa mwendo wa kinyonga.
Umewahi kutembelea nchi yoyote iliyoendelea za Ulaya, Marekani, Canada, China au South Africa?Hewa safi sana huko Tanzania vijijini aisee Tanzania nzuri sana, vijumba vibaya ila hali ya hewa safi kabisa nature imeibariki Tanzania
Sio suala la uchumi tu, hata mambo ya msingi na ya kawaida kama kupanga miji yametushinda. Kuna nchi hazina uchumi mkubwa sana mfano Cuba ila miji imepangwa ikapangika. Wazungu hata kabla hawajaendelea walikuwa wanapanga miji vizuriWanasema development takes time
Mbona tumeshakuwa huru kwa decades 6+. Mpaka lini sasa Tanzania itafikia hata hatua ya kwamba 50% ya raia wake wawe na uchumi stable
Nazungumzia asili yaan nature mazingira muonekano wa huko bush machakani hewa safi sizungumzii miundombinu ambako mpaka leo ukiondoa Lindi na Ruangwa huko Tandahimba vijijini, Newala vijijini, Masasi vijijini mpaka Chetekete huko Chitangali mpaka Mkoma barabara ya lami ni anasa ni vumbi kwa kwenda mbeleUmewahi kutembelea nchi yoyote iliyoendelea za Ulaya, Marekani, Canada, China au South Africa?