NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
sio kweli nenda KenyaKuna gepu kubwa sana kati ya tajiri na masikini Tanzania. Kubwa sana.
Kenya kuwa na gap kubwa zaidi kati ya matajiri na masikini haimaanishi kuwa Tanzania haina gap kubwa kati ya matajiri na masikinis
sio kweli nenda Kenya
"Mshamba naye katoka kidogo"Hii inaitwa kipofu kaona mwezi.Au mshamba naye ametoka kidogo.
Usije dhani Marekani ilivyo kubwa nako hakuna vijiji na watu wana nyumba za hovyo.
Hebu nenda Kilimanjaro ila usije ku i judge ukiwa umekaa kwenye basi ka mji ka Moshi utakaona kahovyo sana sasa wewe mtafute rafiki yeyote akupandishe kule milimani Machame na Marangu.
Ukipita kwa wapare utapita sehemu inaitwa Mwanga usije ku i judge palivyo pakame wapare na wachaga huwa wako milimani panda kule juu mfano kwa Wapare Usangi uone maendeleo ya huko kisha rudi hapa toa comment tena.Wajerumani hizi sehemu walizipendelea sana ndio maana wakatangulia sana kimaendeleo hasa miungo mbinu.
Uzuri wa dafu hadi ulipasue uone kilicho ndani
Unajua hata mimi sielewi, kwa nini miji yetu imepangwa hovyo? Halafu tumeridhika nayo tu. Wazungu wa miaka 1900s walistaarabika kwenye jamii zao kuliko Watanzania wa 2025Sio suala la uchumi tu, hata mambo ya msingi na ya kawaida kama kupanga miji yametushinda. Kuna nchi hazina uchumi mkubwa sana mfano Cuba ila miji imepangwa ikapangika. Wazungu hata kabla hawajaendelea walikuwa wanapanga miji vizuri
Swali rahisi tu, kama nyumba (makazi) sio kigezo cha kuangalia umasikini basi nijibu kwa nini nchi masikini maeneo mengi yapo hiviMkuu,umesoma ili ufaulu mitihani haukusoma ili uondoe ujinga kichwani mwako. Unajua vipimo vya umasikini wewe au unajua ukiona nyumba mbaya tayari huyo mtu ni masikini? Rudi darasani ukajifunze upya hasa hasa ukianza kidato cha kwanza itapendeza zaidi. Cc mtaalamu wa uchumi tlatlaa
Mahali popote pa asili ni pazuri na kuna hewa safi, hata pakiwa jangwani kama huko Sahara na Uarabuni au kwenye barafu kama huko Marekani na Ulaya.Nazungumzia asili yaan nature mazingira muonekano wa huko bush machakani hewa safi sizungumzii miundombinu ambako mpaka leo ukiondoa Lindi na Ruangwa huko Tandahimba vijijini, Newala vijijini, Masasi vijijini mpaka Chetekete huko Chitangali mpaka Mkoma barabara ya lami ni anasa ni vumbi kwa kwenda mbele
niambie unamtambuaje mtu masikini?Mahali popote pa asili ni pazuri na kuna hewa safi, hata pakiwa jangwani kama huko Sahara na Uarabuni au kwenye barafu kama huko Marekani na Ulaya.
Naona unakimbia swali nililokuuliza. Jibu la swali lako ninalo, nijibu kwanza swali langu hapo juu. Nimekuwekea hadi picha kabisa na maelezo uelewe nauliza nini haswaniambie unamtambuaje mtu masikini?
Ndio, kuna sehemu nimepita Safari kutalii huko vijijini kuna miti mizuri imenyooka juu sana mpaka nikatamani kupiga picha then nikavuta picha km ningeishi pale kuna hewa safi saaana na pametulia sio kawaida ni sauti za ndege tu eneo kubwaaaa limejaa miti mirefuuuu mizuriiiiiiiMahali popote pa asili ni pazuri na kuna hewa safi, hata pakiwa jangwani kama huko Sahara na Uarabuni au kwenye barafu kama huko Marekani na Ulaya.
Kwa afya yake, usafi wake, mavazi yake, makazi yake, chakula chake, maji yake n.kniambie unamtambuaje mtu masikini?
Hana akili timamu huyo, elimu yake ndiyo itakuwa haijamsaidia kitu.Swali rahisi tu, kama nyumba (makazi) sio kigezo cha kuangalia umasikini basi nijibu kwa nini nchi masikini maeneo mengi yapo hivi
View attachment 3494466View attachment 3494467View attachment 3494468
Na kwa nini kwenye nchi tajiri maeneo mengi yapo hivi
View attachment 3494469View attachment 3494470View attachment 3494471View attachment 3494472
Na swali lingine, ni vigezo gani vinatumika kupima umasikini? Nitajie vigezo hivyo halafu nikuonesha kuwa hata kupitia vigezo vyako Tanzania bado ni masikini
mtu anaishi nyumba ya nyasi,ana gunia 200 za mpunga ndani,ana gunia 150 za mahindi,ana ng'ombe 300 wengine kawapeleka sehemu nyingine malishoni huyo mtu unaweza kumweka kundi gani. Wengi wanaongelea mtu masikini ni yule hana nyumba nzuri ya kuishi,lakini ukweli ni kwamba wanajidanganya, mleta mada huwa anapita tu vijijini anachungulia dirishani na kuona nyumba zilizoezekwa kwa makuti na kutoa picha ya jamii yote ni maskini,hataki kujifunza tamaduni na mwenendo mnzima wa maisha ya watu. Naweza kuta mtu amejenga nyumba nzuri lakini life style yake haiko sawa,nyumba hiyo ameiweka bond,hana kitu zaidi ya kufanya biashara ya mkopo, unamlinganishaje mtu huyo na mfugaji,mwenye mashamba,mkulima aliyeamua kujenga nyumba zilizoezekwa kwa makutu? Lazima unapoleta mada yako ufanye na utafiti kidogo ufuatilie life style za watu hao unaowazungumzia. Afya bora,mavazi si kipimo cha umasKwa afya yake, usafi wake, mavazi yake, makazi yake, chakula chake, maji yake n.k