Ila JF bwana!

Ila JF bwana!

Kuna mwamba kauliza jana hivi "wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"

Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne😂

Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi

Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc

Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee😂
Kuna yule alikuwa na milion 50 mara punde si punde akaja tena kuomba kazi Jf anakufa njaa
 
Kuwa masikini jf ni kujitakia, hio ndege nanunua mwezi ujao dua zenu wakuu...
Nimepeleka fundi tayari wamefanya inspection, wamefanya test flight, nime negotiate bei, nimesha consult na legal na financial advisors... kilichobaki ni kuileta bongo tu..
34-gallery-1.jpg
Unanunua ndege wakati wenzako Gazza wanakufa na utapiamlo
 
Back
Top Bottom