Ila JF bwana!

Kuna yule jamaa aliesema allitisha malaya kutoka telegram akashangaa kumuona ndugu yake ila akachapa hivyo hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
Mkuu story kama zile zinatufariji na magumu ya dunia, we chukulia ni kama movie tu au novel, usiwe serious sana, ilimradi siku ziende...
Lakini watu ni waongo balaa..
 
Kuna yule alikuwa na milion 50 mara punde si punde akaja tena kuomba kazi Jf anakufa njaa
 
Unanunua ndege wakati wenzako Gazza wanakufa na utapiamlo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…