Ushapiga lager ngapi hapo mkuu??Yeah mbona hiyo kawaida tu bro🤔 mimi mtu niliye zaliwa nae ni mkubwa kwangu japo wote na watoto wa 2017 nawapenda wote
Sinywi local bia bia bro nakula vitu ngadu 🤏Ushapiga lager ngapi hapo mkuu??
Huu mwandiko huu 😀😀
Hata utumie serum uzee uko pale pale tutaona unavyojikongoja na ngozi nyororo iliyotepetaHii nchi ina vituko na JF ndio studio yake🤣
Ni basi tu tunawaponda dada zetu walio 30+ ila Kijana wa kiume ukishafikisha 30+ wewe nae ni "LIJOMBA" hadhi ile ile ya lishangazi.
Siku hizi wadada hawazeeki, kuna vipi vipi siku hizi, kuna serum za kuondoa makunyazi, etc
Hata nimi baada ya kuona ule uzi nilicheka sana🤣🤣🤣🤣Hii nchi ina vituko na JF ndio studio yake🤣
Ni basi tu tunawaponda dada zetu walio 30+ ila Kijana wa kiume ukishafikisha 30+ wewe nae ni "LIJOMBA" hadhi ile ile ya lishangazi.
Siku hizi wadada hawazeeki, kuna vipi vipi siku hizi, kuna serum za kuondoa makunyazi, etc
Uyu babu mshenz mshenz sana sjui anawafanyaga Nini awa wadada wakijifunika
Kwanin huyo