Ila kama vile Kinana anazeeka vibaya hivi!

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
278
Reaction score
255
Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
 
akakulisha za uso chapchap 🐒

Up cut chembe la kidevu lazma ukae 🤣
siasa huwa hatustaafu tunapumzika tu..
 
Ila kinachombeba Kinana kwa utu na uzalendo na kutowalelea watoto wake katika njia ya ulafi wa madaraka
 
Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
Mimi naona kama amejiaibisha tu kuna vitu afadhali ukae kimya tu unadhani kusema kuwa CDM wamepewa 2.7bilioni ni fedhaha kwa chama mbona nyiye mmepata marakumi zaidi ya chadema.
 
Mkuu, kauli ya CDF kuhusu wakimbizi inampa wenge.
 
Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
Mungu ameondoa kauli za kiuongozo kwenye vinywa vya watawala.

Nilianzisha uzi namna Mungu anavyoishughulikia CCM haraka haraka
 
UTOTO RAHA SANA.

Uhuru wa kuandika JF
Uwe na Mipaka.

Mtu anaandika kisichoeleweka kabisa.

ZERO.
 
Ukitaka kujua hajazeeka mwambie nimepita sehemu fulani nimekuta kundi la tembo kama 45, then urudi baada ya siku 2 kama utawakuta tena hao tembo.
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Israel, tunakukaribisha sana Tanzania utusaidie kutuondolea magaidi ya kijani kama unavyowqfanya HAMAS. Tunaomba operation ihamie Tanzania.
 
Mimi naona kama amejiaibisha tu kuna vitu afadhali ukae kimya tu unadhani kusema kuwa CDM wamepewa 2.7bilioni ni fedhaha kwa chama mbona nyiye mmepata marakumi zaidi ya chadema.
Katika kipindi cha miaka 3 Chadema imepata b 2.7 na CCM imepata b 47.88 bado anaionea wivu Chadema huyu atakuwa mchawi kabisa.
 
Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!

Hao ni wasemaji wa mama, kwa sababu by default mama sio mwanasiasa mzuri...
 
Msomali hana uchungu na nchi hii, hata kikinuka atasepa kwenda kwingine (maana kwao Somalia hakukaliki).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kbsa yaani nasikia umeamishia familia yake Canada [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom