Ila kanisani huwa kuna mambo saa zingine!!

Ila kanisani huwa kuna mambo saa zingine!!

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
tupo kanisani mchungaji akasema anaetaka kuombewa biashara yake apate wateja asimame
si Muuza majeneza akasimama wa kwanza
sasa naona ibaada imeahirishwa naisi kanisa zima wataua wameenda kufanya ziara ya kuichek biashara ya huyo Muuzaji. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
c8fd8c8dd53cd1e242c14d8133d1529e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom