Gentleman inabidi awe hvo....hizo Ni moja ya sifa za mwanaume aliepevuka.....
Kaka unataka kuniambia ana mabaya makubwa kiasi hicho Cha kumnyima Uhuru wa kuwa huru? All in all most his evil acts ni rumors tuHana ugentleman huyo Mkuu bali uoga wa maovu yake mbali mbali tangu awamu ya tatu hadi ya nne alioufanya dhidi ya Nchi yetu mkubwa sana. Hivyo kujichimbia inasaidia hayo maovu yake yasianikwe hadharani kwani bado ana wabaya wake ndani ya Serikali na maccm.
Kaka unataka kuniambia ana mabaya makubwa kiasi hicho Cha kumnyima Uhuru wa kuwa huru!!??? All in all most his evil acts ni rumors tu
Jamaa kapiga hela....[emoji1] Kinachoumiza ni kwamba hata watu walipojaribu kurise the concern walizimishwa kimya kimyaa.....yn hakuna hata moja lililoguswa katika hayo....so painfulKabisa Mkuu. kumbuka IPTL, Richmond/Dowans, Escrow na mazagazaga mengine mengi tu.
Mimi huyo siwezi kumsamehe rohoni. Alifanya unafiki mpaka tukaikosa katiba mpya !!. Angelifanikiwa kwenye katiba mpya Kikwete angelikuwa babukubwaInakuwaje wanajamvi!
Kama mnakumba kampeni ya uchaguzi mkuu 2010 kuna mwanasiasa flani jukwaani tena live mubashara kwenye TV alimtukana wazi wazi mama mzazi wa Rais wa jamhuri ya muungano, Jakaya Kikwete eti hana adabu kwa kumlea vibaya Kikwete...
Ni heri uwe na mtu mkali ukamjua.....Ila tukimlinganisha na huyu tuliye naye sasa! bora aliyepita aisee!! Huyu labda tumlingashe na Mobutu Sesseseko.
Uoga wakati alikuwa Rais? Hakuna aliyekuwa juu yake, angeweza kufanya chochote na kwa katiba yetu mbovu hata akitoka madarakani hashtakiwiHana ugentleman huyo Mkuu bali uoga wa maovu yake mbali mbali tangu awamu ya tatu hadi ya nne alioufanya dhidi ya Nchi yetu mkubwa sana. Hivyo kujichimbia inasaidia hayo maovu yake yasianikwe hadharani kwani bado ana wabaya wake ndani ya Serikali na maccm.
Kwa kuwa hujawa Rais ni sawa kutukaniwa mama sio?Watanzania wengi bado hawajafanikiwa kumfuta adui Ujinga...kila mtu ako na hulka zake,,
Mimi niwe rais,unitukanie mama,lazima nikunyooshe tu...
Lissu ana maneno ya kuchagua , hawezi kumtukana mama wa Maghufuli . HaweziMbona Lisu juzi tu kamtukana Mama wa Magufuli?