Ila Kikwete ana kifua

Naomba nione video kabla sijacomment😡😳
 
Kabisa Mkuu. kumbuka IPTL, Richmond/Dowans, Escrow na mazagazaga mengine mengi tu.
Ukijumlisha pesa zote izo je zinafiki 2.3trilion iliyopotea ndani ya miaka miwili ya utawala wa magufuli?


CAG aliyehoji unajua kilichomtokea. Tundu lisu naye unajua kilichompata.

Kama kusoma hujui hata picha huoni.

Kwa kifupi hii inaweza kuwa ndyo serikali iliyoongoza kwa ufisadi kuliko zote.
 
Kabisa Mkuu. kumbuka IPTL, Richmond/Dowans, Escrow na mazagazaga mengine mengi tu.
Hayo mambo ya Richmond na kadhalika yaliripotiwa na vyombo vya Habari na yalitolewa ufafanuzi
Je wajua jiwe ni fisadi mkubwa na hakuna chombo cha Habari kinaweza kutangaza ufisadi wak?
Je wajua ni kiasi gani kilitumika kununua Midege na yeye kafaidika vipi? Je wajua Dotto James ni mtoto wa dadake na yeye Ndio mwenye kuidhinisha pesa zote za miradi bila Baraka za bunge?
Wakati wa jakaya angalau bunge na media vilitujuza baadhi ya mambo
 
Uoga wakati alikuwa Rais? Hakuna aliyekuwa juu yake, angeweza kufanya chochote na kwa katiba yetu mbovu hata akitoka madarakani hashtakiwi
Hujui mchezo unavyochezwa wewe, tulia. Tuna katiba sisi? Katiba ni rais aliyeko madarakani. Sasa hivi Kikwete akijaribu kusema chochote against Magufuli, na Magufuli akiamua kumfanyizia hakuna wa kumlinda. Si katiba, si nani! Nchi yetu mtu akishakalia kile kiti achana naye. Na usiniambia bla bla bla za katiba. Katiba ni kitabu kama vitabu vingine tu wananchi wasipokuwa na mwamko wa kuitetea.
 
Hapa BAK alionyesha tu Kikwete siyo msafi. Hakulinganisha ni nani amechafua zaidi.
 
Jamaa kapiga hela....[emoji1] Kinachoumiza ni kwamba hata watu walipojaribu kurise the concern walizimishwa kimya kimyaa.....yn hakuna hata moja lililoguswa katika hayo....so painful
Nani ana ushahidi kuwa jk kapiga hela?,hata magu watu wanasema anapiga hela ila ushahudi hawana
 
Lissu ana maneno ya kuchagua , hawezi kumtukana mama wa Maghufuli . Hawezi
Ni Lisu peke yake katika wanasiasa wa tz kwenye uchaguzi uliopita aliwahusisha wazazi wa mgombea mwenzie katika kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…