Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza kujenga picha yaani staili alizokuwa ananipa ndio kampa yule jamaa!
Unaanza kujenga picha yaani staili alizokuwa ananipa ndio kampa yule jamaa!
nyie n wavumilivuMkuki kwa nguruwe. Ndio muone vile wake zenu huumia wakikuta mnachepuka.
Unaanza kujenga picha yaani staili alizokuwa ananipa ndio kampa yule jamaa!
Kwani moyo wa mwanaume na mwanamke unatofauti yoyote kibaiolojia?
Itabidi tujitahidi sana tusikutwe aiseeMkuki kwa nguruwe. Ndio muone vile wake zenu huumia wakikuta mnachepuka.
Ni kweli...Kuzidi kuliongelea hili ni kuzidi kuwapa wao mwanya kuujua zaidi udhaifu huu. Inauma ndio ila ni heri mjadala ukaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndo kubwa zaidiHiyo ni moja lakini unapowazia utu, heshima na mamlaka ya kifamilia uliyojijengea kwa jamii yako.
Rafiki zangu watalichukuliaje hili swala, ndugu, wazazi, watoto wetu je??
Kihisia tofaut kubwa mnoKwani moyo wa mwanaume na mwanamke unatofauti yoyote kibaiolojia?
Hili suala ndo linakuja, ndo maana wengi wanataka kuachana.Hiyo ni moja lakini unapowazia utu, heshima na mamlaka ya kifamilia uliyojijengea kwa jamii yako.
Rafiki zangu watalichukuliaje hili swala, ndugu, wazazi, watoto wetu je??