Ila kuna watu wana machozi ya karibu

Ela huwa wanagawana na Waganga hawa πŸ˜‚
Amani ya moyo hawana hawa
Hee 😳
Yaani ningekuwa mimi mshahara miaka 5 na pensheni juu
Ningetoka hapo namshukuru tu Mungu na kwenda kufanya mambo yangu mengine.
 
Hee 😳
Yaani ningekuwa mimi mshahara miaka 5 na pensheni juu
Ningetoka hapo namshukuru tu Mungu na kwenda kufanya mambo yangu mengine.
Kuipata ile nafasi uwe na imani kweli hasa hiki chama tawala 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…