Ila mambo ya kuoa na kuolewa ni magumu mno

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Imagine watu mnakutana ukubwani hapo kila mtu kakulia mazingira tofauti. ndio maana huu mtaa naoishi kuna wanawake kadhaa wanamiliki Mali ila hawana waume ila wana watoto.

Nahisi ujuaji umewaweka hapa, mmoja nilimsikia anasema haya maisha ni bora uishi tu single mambo ya kunyenyekea mtu ni ukoloni!.. niliwaza sana
 
. Tatizo Wengi mnageuza ndoa kama biashara... πŸ™‚

. Mwanamke/mwanaume umejuana hata mwaka haujaisha, Tayari unatangaza ndoa.. Lazima kikulambe... 😁😁
 
Nahisi ujuaji umewaweka hapa, mmoja nilimsikia anasema haya maisha ni bora uishi tu single mambo ya kunyenyekea mtu ni ukoloni!.
Huenda alikuwa sahihi,Kuna wanaume wanastahili kunyenyekewa maana Wana hekima pia kwa wake zao....
Nguruwe zingine ukizinyenyekea zinakuona unastahili kunyanyaswa.

Ndoa ni kwa ajili ya watu wenye hekima tu la sivyo mtalia nazo sana
 
Poa tu, wanaume tutakuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi sana mithili ya swala. Na hayo mahusiano yatakuwa si rasmi bali ni kunyandua tu na kuondoka ikiwa wanawake hawataki kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…