Disruptor1
Senior Member
- Aug 9, 2022
- 139
- 388
Nakumbuka ile nimemaliza tu form four nikasema hapa sibaki home nasepa zangu porini kupiga mishe za kuchana magogo,kusomba mbao na kupakia kwenye magari.Basi time ilivofika kuna jamaa nilisoma nae darasa la saba nilimwabia ukitokea mchongo wa pori jipya anishtue tuzame wote.Kweli mwamba mchongo ulivotokea tu akanishtua tukazama kijiji flani hivi kinaitwa igowole.
Nakumbuka nilipiga mishe kutoka mwezi wa 12 hadi mwezi 7 mwishoni hivi napo miti ilikuwa bado ipo sema mimi ndo mda wa kuripoti kischool ulikuwa umefika ko ilinibidi nisepe na mpka hapo nilikuwa nimepitsha tarehe ya kuripoti school.
Nakumbuka siku hiyo kuna gari ilikuja kushanti mbao kuzipeleka pale soko la mafinga tukapakia na mimi nikadandia hadi mafinga.Nilivofika mafinga pale nikanunua suruali na tisheti angalau nionekane mtu sasa maana nguo zangu zote zilikuwa chafu zina oil za amec na chainsaw tu.
Baada ya kubadili nguo nikanunua kabegi kamgongoni kisha kiakaanza kutafuta stationary waniprintie join instruction nisome hata maelekezo kidg maana nilikuwa sielewi chochote na nishavuta mda wa kuripoti.Kama baada ya dk 3 iv nikaipata wakaniprintia nikatia kwenye kibegi changu.
Nikarudi pale soko la mbao nikawaaga washikaji mm ndo nasepa naingia kischool.Kuna lori lilikuwa limepakia mbao ndo linaanza safari ya kwenda dodoma basi jamaa wakanambia niingie wanidrop ifunda kibaoni pale.
Safari ikaanza kama baada ya saa moja na nusu iv nikawa ifunda kibaoni tayari.Safari ya kuingia kischool ikaanza.
Duuh aisee nilivofika shule moyo ulirukaa paaa maana kulikuwa na wadada wazuri aisee wengine wana meno kama yameoza mbele apa wana lafudhi nzuri kinoma.Kimoyo moyo nikawa nasema iv mbwiga kama mimi mikono imechakaa na gundi za mipaina nakuja kusoma na pisi kali hivi.
Basi japo kwa misuko suko nikakamilisha kununua mahitaji na kujisajali kisha kama mida ya saa 9 hivi nikapelekwa dom.Nikachili dom kidg kisha nikasema ngoja niende class nione kunafananaje.
Kweli nikapanda hadi class nikaanza kupita chumba kimoja kimoja hadi nilipofika chumba cha form v pcb,nikafungua mlango kuchungulia aisee watu walikuwa kimya wanasoma kinoma af karibu wengi wamevaa miwani.
Kwa hofu nikasema labda awa form six haiwezekani form v wawe bize iv mapema yote hii.Basi nikaenda chumba cha mbele kilikuwa form v pcm apa nilikuta kelele tu basi nikaingia ndani.
Duuh mle ndani nilikuta washikaji wawili hiv kama waarabu,pisi moja matata na kajama kingine ka morogoro wanasolve review ya math af kwa pembeni kulikuwa na machalii kutoka dsm nilijua badae walikuwa wanapepa ya jograph wanafanya swali la map.Yaani kimoyo moyo nikasema hii ndo shule au mbona sielewi nini kinaendelea hapa.
Nikiwa najiuliza haya moja wawale jamaa kama waarabu akanishtua oi man vp,nikamjibu frehs akauliza upo comb gani ikabd nidangaye tu niko pcm ili nisionekane mnoko kwenye class za watu.Jamaa akaendela ko man umesoma twisheni ya calculus nikamjibu hapana jamaa alicheka kinoma kusikia hivo.Ile pisi ya pembeni ikageuka ikasema sasa utafauluje wewe.
Daah nikawajibu nitafaulu tu kibishi,yule kama mwarabu akanambia kama ukiwa na uhitaji wa kujifunza nione nikamwabia poa man usijali.
Daah nilikaa kama dk 2 iv nikatoka mle class nikaingia zangu dom kulala.Nimekuja kushtuka kama mida ya saa 11 iv kuna muhuni amekusanya kijiji anawapigisha wadau mechanics kipengele cha newtons law tena yupo kule kwenye calculation unazo apply hadi intergration na defferentiation.Ikabd nishuke na mm nione maujuzi kidg,aisee baada ya kusikiliza kama dk 5 nikaona kabisa mimi nimekuja kusindikiza hizi raia.
Jioni ile tukaenda kula msosi ila mm mawazo yalikuwa kwingine kabisa.Ile prepo yote nikawa nawaza na mm nawafikiaje wenzangu maana naona karibu kila mtu class anajua kitu mm ndo mbwiga mburula wa mwisho najua tu kufungua na kufunga amec na chainsaw na kupanga mbao.Basi wazo likanijia nifake ugonjwa nirudi home then niende kwa twisheni flan hv ilikuwaga Njombe secondary.
Kweli wazo langu lilifanikiwa niakendaga ile twisheni kisomaga topic za kutosha maana kipind kile wale maticha wa twit walikuwa free hakuna wanafunzi ko nilivowapiga kibunda cha mbao wakanipa madini aisee.
Nilivorudi shule sasa nikawa na amani kabisa na mambo yakaenda vizuri hadi namaliza.
ILA VIJAMAA VYA MCHIKICHINI BHANA