Ila shule kulikuwa na watu wajuaji sana aisee

Ila shule kulikuwa na watu wajuaji sana aisee

Nakumbuka nimefika form 5 siku ya kwanza nimeenda darasani nikakuta mshikaji kavaa miwani ni mwanafunzi anafundisha projectile motion, akawa anasema msijali mtafaulu tu 😁 kumbe ni form 5 mwenzetu. Nilikua najiona kabisa mimi sitoboi, lakini Mungu sio Tundu Lissu nikawashangaza 🤣
Hahahaha hii topic walikuwa wanapenda kuifundisha aisee
 
Dah kitu sikuwahi kuogopa ni hao viherehere madarasani nipiposoma walikuwepo Ila sikujali nikaendelea na maisha yangu ,katika formula zangu ,kula sana ,lala sana na uhuni mwingi na watoto wa down town ,Ila nikawa napiga kimtindo nikifeli namcheki mwanangu muhindi Lakesh .

Anhaa wewe basi sir God unadhani alinitenga ? Nikajikuta ni miongoni mwa vipanga trouble maker wa shule Ila mwisho wa darasa ni mmoja wa Wana walioenda Muhimbili alafu kwa maksi mkasi .

Kuna muda nahisi tunajihangaisha na maisha Ila destination zetu azijuaye ni Mungu mwenyewe .
😂😂😂
 
Hadith yako inatufundisha Nini mwana wanee...

All in all
Wengine tulienda shule za vipaji maalum na kukutana na masomo shule bila twisheni tuka clemisha tuka pop up hao university

Elimu ngumu nili soma o level nikiwa mwenyewe shule ya day Mimi ndio baba na mama na kibatari maana wilaya nzima hakuna umeme nilifurahi Sana nilipo faulu o level sababu dispite all problems nili faulu kwa kiwango Cha juu sanaa nikitoka shule ya ki maskini..
Hii haifundishi inaburudisha tu
 
Aisee form 5 ni noma sana hasa comb zenye Maths, nimeingia watu wanajua logic, set , sijui calculas. Nikasema hapa nimeyatimba acha nijifarague kivyangu tuu. Kuna watu walikuwa wanasolve zile Cosh, tansh Sinsh mpk majasho yanawatiririka teh teh. Mwisho wa siku anaishia SUA Agribuss.
Watu wana mikwara
 
Sasa hapo ni Ifunda na ukapagawa hivyoo, je ungepangiwa Special school? Kulee ungekufaa mazimaaa.

Kuna wenzio walirudishwa home kwao kuwa wanaumwa, kumbe madesa ya Mechas yametibua oblangata
Famchezo nn, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha siku ya kwanza naingia Class ILBORU ilikuwa hatari, watu wamesoma topic zote
 
IMG-20240827-WA0025.jpg
 
Inshi ya baridi niliitumia kama sababu ya kuhama karatu boys sikua nmesoma tuition pesa za biashara za mzee zilinichanganya nkaamini ntasoma uko uko alafu PCB. Nashukuru shule niliyohamia nkakutana na marafiki zangu watano niliosoma nao na kufanya nao uhuni Olevel tukaishi dormitory moja, uhuni mwingi sana, kutoroka sana, clubs, shule nyingi sana hatimaye tukatoboa watatu MD Muhimbili, wawili MD india na mmoja Pharm Muhimbili. Now tumekua tumekua zaidi ya ndugu tuna miradi yetu mingi ya pamoja na tupo kwenye asilimia sabini kukamilisha hospital yetu kubwa na chuo cha kati cha Afya na sayansi shirikishi
Umepiga karatu boys mwaka gani ?
 
Back
Top Bottom