Ila shule kulikuwa na watu wajuaji sana aisee

Dada mziki wa PCM ukikaa vibayaa, unatagaa huku unaona na huaminiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Sasa mnauvamiaga wa nini?mimi combination yenye mi numbernumber hapana kwa kweli,bora nisikilize hadithi za kina Kinjekitile Nwale
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mnauvamiaga wa nini?mimi combination yenye mi numbernumber hapana kwa kweli,bora nisikilize hadithi za kina Kinjekitile Nwale
Kipendacho hula hata visivyolikaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee form 5 ni noma sana hasa comb zenye Maths, nimeingia watu wanajua logic, set , sijui calculas. Nikasema hapa nimeyatimba acha nijifarague kivyangu tuu. Kuna watu walikuwa wanasolve zile Cosh, tansh Sinsh mpk majasho yanawatiririka teh teh. Mwisho wa siku anaishia SUA Agribuss.
 
Hakua serious huyoo bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mdogo wa rafiki yangu O level alikuwa kipanga kweli,akaenda hiyohiyo shule Ifunda kila siku anampigia simu dada yake anaumwa,anadai baridi imemkataa,ahamishwe shule kumbe PCM inamkoroga,matokeo kutoka madudu aliyofanya anayajua mwenyewe😅
Inshi ya baridi niliitumia kama sababu ya kuhama karatu boys sikua nmesoma tuition pesa za biashara za mzee zilinichanganya nkaamini ntasoma uko uko alafu PCB. Nashukuru shule niliyohamia nkakutana na marafiki zangu watano niliosoma nao na kufanya nao uhuni Olevel tukaishi dormitory moja, uhuni mwingi sana, kutoroka sana, clubs, shule nyingi sana hatimaye tukatoboa watatu MD Muhimbili, wawili MD india na mmoja Pharm Muhimbili. Now tumekua tumekua zaidi ya ndugu tuna miradi yetu mingi ya pamoja na tupo kwenye asilimia sabini kukamilisha hospital yetu kubwa na chuo cha kati cha Afya na sayansi shirikishi
 
Dah hongera sana ex-trouble maker....Hiyo mistari minne ya mwisho umenitega ujue?
 
Kwani hiyo course ya Agribuss ni mbaya?mbona mi naona ni nzuri hata unaweza jiajiri?
 
Hadith yako inatufundisha Nini mwana wanee...

All in all
Wengine tulienda shule za vipaji maalum na kukutana na masomo shule bila twisheni tuka clemisha tuka pop up hao university

Elimu ngumu nili soma o level nikiwa mwenyewe shule ya day Mimi ndio baba na mama na kibatari maana wilaya nzima hakuna umeme nilifurahi Sana nilipo faulu o level sababu dispite all problems nili faulu kwa kiwango Cha juu sanaa nikitoka shule ya ki maskini..
 
Bora hata wewe uliingiza hela. Nilienda advance nashangaa watu wanafanya discusion. Najiuliza ya nini ndio kwanza tumefika 😂

anyways, watu karibia wote walijua natoka na zero. Sikwenda tuition mda huo ila nikatafuta past papers nikachagua topic za kusoma.
 
Advance ya siku one km ubweche madgo wanawezaje hawa advance ya 2012 kurudi nyuma lazima uote maji mma.
 
Nakumbuka nimefika form 5 siku ya kwanza nimeenda darasani nikakuta mshikaji kavaa miwani ni mwanafunzi anafundisha projectile motion, akawa anasema msijali mtafaulu tu 😁 kumbe ni form 5 mwenzetu. Nilikua najiona kabisa mimi sitoboi, lakini Mungu sio Tundu Lissu nikawashangaza 🤣
 
Dah kitu sikuwahi kuogopa ni hao viherehere madarasani nipiposoma walikuwepo Ila sikujali nikaendelea na maisha yangu ,katika formula zangu ,kula sana ,lala sana na uhuni mwingi na watoto wa down town ,Ila nikawa napiga kimtindo nikifeli namcheki mwanangu muhindi Lakesh .

Anhaa wewe basi sir God unadhani alinitenga ? Nikajikuta ni miongoni mwa vipanga trouble maker wa shule Ila mwisho wa darasa ni mmoja wa Wana walioenda Muhimbili alafu kwa maksi mkasi .

Kuna muda nahisi tunajihangaisha na maisha Ila destination zetu azijuaye ni Mungu mwenyewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…