Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi mana msipochenji mtakuwa mnalia kila siku labda muwe na private transportNdiyo mkuu, tunaahidi kubadilika!
Kwanini ulliondoka mwenyewe my wangu?Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,
Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda,
Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa na seat mbili jirani kabisa na mlangoni pale, akatangulia mkaka akakaa, kisha nikafuatia mie nikakaa,
the next person kupanda akawa mdada, ila akafika pale pembeni yetu cha ajabu akasimama motionless for few seconds akanitazama kwa macho ya khasira halafu akaenda kukaa seat nyingine ya mbele yetu ipo upande wa dirishani.
Sasa nikashindwaa, kwani this girl nimewahi ona wapi.? Ni nini mbaya naye.? Ni nini nimefanyiana naye mbona kanitazama kwa macho kama vile niliwahi patana naye sehemu?
Nikawachana tu naye, nikachukua kisimu changu nikadumbukia JF, after a while nikaona yule mrembo akageuka then akawa ana discuss na huyo jamaa aliyeko jirani yangu kuwa washuke kituo gani.
Ndiyo nikaelewa, anhaaa' hawa watu kumbe wapo pamoja, nikajiambia tu huyu dada kwa lile jicho kanikata walaqhi' huyu pembeni yangu itakuwa ni kifaa yake, angekuwa brother ake asingeni maindi vile.
Luckily, wakashuka zao baada ya vituo kadhaa, nikaona afadhali wapeleke ukuch kuch hotae wao huko mbele, (ain't jealous hata)..
Ila wadada hii wivu nyingine muwachane tu nayo, It's a public transport, ingawa ningejua they're together I swear nisinge interfere ningewapisha kabisa.
I ain't even that mad though, Jioni njema kwenu.
We ni mkenya au unaiga lafudhi ya kikenya?!Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,

Unatakiwa tu uishi kwa kujali shughuli zako, hapo ilitakiwa hata ujifanye hujawaona, as long as hawajaingilia issue yako personal.!Ndomana kukukaacdaslam siwezi kuna siku nilikuwa natoka kkoo gerezani naenda makumbusha sasa nikapanda daladala nilikosa siti nikawa nimesimama pembeni kwenye siti kuna mdada na mkaka wamekaa yule mdada anadeka kwa yule bwana ake aoni aibu amemlalia kifuani kamuegemea haoni haibu yani kama wapo wawili tuu gari zima nilishangazwa sana...
[emoji3][emoji3][emoji3] sweetheartSilipendi hilo neno la 'my wangu' jamani..
Huyo mwanadada,
Siku nyingine usitote peke yako ntakusindikiza mwenyewe yani, tuwakomesheEwaaaah'..
AaaaaahNimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,