PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaDuh!kazi unayo usipande public transport tena watakuloga uwe unatembea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaDuh!kazi unayo usipande public transport tena watakuloga uwe unatembea
Yuko sawa kabisa! Kumbuka kila abiria anapaswa kuchunga mzigo wake mwenyewe.
Msisahau October 28 watanzania tuna jambo letu..... #niYEYE
Unajua kusimulia vizuri
HahahaLabda sio kwa purukushani zile za Dar.....utapata wapi muda wa kuombana.
Ila mimi namwonea wivu huyo jamaa. Wadada mimi nikiwahi kwenye seat huwa wanapita wanaenda kukaa nyuma.
Kuna siku nimezuia wana na wazee kama watano kisa tu atokee mdada nikae nae...nikaambulia sifuri...
Nikaishia kumruhusu bibi na kumsaidia kupaka mjukuu wake aliyeishia kunikojolea.