Common Folk JF-Expert Member Joined Nov 8, 2023 Posts 909 Reaction score 4,050 Dec 9, 2025 #21 dogman360 said: Wanasema wana deal tu na watu walio Report chup .sasa yeye si alikuwa bado haja Report sababu tulikuwa tunasubiri apangiwe mkopo Click to expand... Ndiyo maana nimekuambia tcu walitoa muongozo kwa walipangiwa hiko chuo wiki moja kwamba wahamie vyuo vingine. Your browser is not able to display this video.
dogman360 said: Wanasema wana deal tu na watu walio Report chup .sasa yeye si alikuwa bado haja Report sababu tulikuwa tunasubiri apangiwe mkopo Click to expand... Ndiyo maana nimekuambia tcu walitoa muongozo kwa walipangiwa hiko chuo wiki moja kwamba wahamie vyuo vingine. Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 9, 2025 #22 Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw