Kwani mimi nimesemajeππ.. Nimesema mrembo kwasababu sijawahi kumuona akiwa hajapakaa makeup namuonaga tu kwenye picha na videos zake insta akiwa na makeup... Ni mremboMrembo -uzuri wake mpaka ajirembe
Mzuri- natural beautiful
Huyu ni mrembo
Kwa mantiki hiyo sio mzuri kiivo ila ni shangazi mzuri πKwani mimi nimesemajeππ.. Nimesema mrembo kwasababu sijawahi kumuona akiwa hajapakaa makeup namuonaga tu kwenye picha na videos zake insta akiwa na makeup... Ni mrembo
Hayo yako sasaπππKwa mantiki hiyo sio mzuri kiivo ila ni shangazi mzuri π
Dau lake bei gani?Wakawaida sana watu tushapiga sana maokoto tu
Uzuri wa kujichafua na matatoo hadi kwenye nyonyo.Hayo yako sasaπππ
Nimeshindwa kufahamu umuhimu wa suali lako? Sasa ukishajibiwa ndio itakusaidia nini katika maisha yako kila siku?
Oyaa noma sana π€£π€£π€£Ana nini mkuu π€£π€£π€£π€£