Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mimi nimesemaje😃😃.. Nimesema mrembo kwasababu sijawahi kumuona akiwa hajapakaa makeup namuonaga tu kwenye picha na videos zake insta akiwa na makeup... Ni mremboMrembo -uzuri wake mpaka ajirembe
Mzuri- natural beautiful
Huyu ni mrembo
Kwa mantiki hiyo sio mzuri kiivo ila ni shangazi mzuri 😅Kwani mimi nimesemaje😃😃.. Nimesema mrembo kwasababu sijawahi kumuona akiwa hajapakaa makeup namuonaga tu kwenye picha na videos zake insta akiwa na makeup... Ni mrembo
Hayo yako sasa😂😃🙌Kwa mantiki hiyo sio mzuri kiivo ila ni shangazi mzuri 😅
Dau lake bei gani?Wakawaida sana watu tushapiga sana maokoto tu
Uzuri wa kujichafua na matatoo hadi kwenye nyonyo.Hayo yako sasa😂😃🙌
Nimeshindwa kufahamu umuhimu wa suali lako? Sasa ukishajibiwa ndio itakusaidia nini katika maisha yako kila siku?
Oyaa noma sana 🤣🤣🤣Ana nini mkuu 🤣🤣🤣🤣