Ila tukiacha unafiki Haji manara alikuwa mtu sahii kwenye mpira wa Tanzania

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mwaka 2008-2016
Kwenye league yetu ya Kongo kulikuwa mtu ambaye alikuwa anaitwa sangabalende
Huyu sangambalende alikuwa shabiki wa as vita kindakindaki saana
Huyu bwana alikuwa sio msemaji wa timu ya as vita bali alikuwa tu shabiki wa as vita
Huyu sangabalende na haji manara wana mfanano fulani hivi
Tofauti ya sangabalende na haji ni kuwa sangabalende yeye alikuwa ana penda kupigana saana sio kupigana kwa maneno yeye alikuwa mtu wa kupigana kwa ngumi kabisa
Alikuwa mbishi saana huwezi kumuambia kitu chochote kuhusu as vita yake
Alikuwa ni mtu ambaye alikuwa anawapa Mashabiki motivation ya kupenda saana mpira
Ila kwa bahati mbaya huyu bwana alikutwa amefariki ndani ya nyumba yake
Na toka huyu bwana afariki League yetu tena aina mvuto kama mwanzo
Mashabiki wamepowa kinoma
 
... Huyu sangabalende na haji manara wana mfanano fulani hivi
... Ila kwa bahati mbaya huyu bwana alikutwa amefariki ndani ya nyumba yake
unataka kusema nini?
 
Mbona Sangabalende ni timu inayo shiliki ligi kuu ya Congo DRC acha kutupiga kamba.
 
Aisee..........ni shida kubwa.
 
Huu mbona kama muandiko wa Haji[emoji56]
 
Manara ashukuru ujio wa Mo Dewji kuweka mohela Simba,kabla ya ujio wa Mo ,Yanga ya kampa kampa tena msemaji alikuwa Jerry Muro.

Haji alikuwa hasumbui.

Hata msemaji awe bubu timu ikipiga mpira mtamu watu wataelewa tu.
 
Sangabalende fc,ni timu ilyo ligi kuu ya congo,inatokea kule mbuji mayi .kasai province
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…