kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Mwaka 2008-2016
Kwenye league yetu ya Kongo kulikuwa mtu ambaye alikuwa anaitwa sangabalende
Huyu sangambalende alikuwa shabiki wa as vita kindakindaki saana
Huyu bwana alikuwa sio msemaji wa timu ya as vita bali alikuwa tu shabiki wa as vita
Huyu sangabalende na haji manara wana mfanano fulani hivi
Tofauti ya sangabalende na haji ni kuwa sangabalende yeye alikuwa ana penda kupigana saana sio kupigana kwa maneno yeye alikuwa mtu wa kupigana kwa ngumi kabisa
Alikuwa mbishi saana huwezi kumuambia kitu chochote kuhusu as vita yake
Alikuwa ni mtu ambaye alikuwa anawapa Mashabiki motivation ya kupenda saana mpira
Ila kwa bahati mbaya huyu bwana alikutwa amefariki ndani ya nyumba yake
Na toka huyu bwana afariki League yetu tena aina mvuto kama mwanzo
Mashabiki wamepowa kinoma