Ila ukweli ni kuwa kwa miaka mingi WaTanzania tulionekana wadhaifu sana kwa majirani zetu wa East Africa, angalau kwa sasa tunakula nao sahani moja

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.

Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.

Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
 
Sawa
 
A piece of shi+
 
Unaweza kuonyesha vichache tulivyofanya kuprove statement yako mkuu?
 
Ofcourse mkuu:

SASA HIVI TUKO MORE INFORMED
SASA HIVI ILLITERATE IMEPUNGUA
SASA HIVI TUNAFAIDIKA NA INTL TRADE

LAKINI BADO TUNA USWAHILI MWINGI NA ULIMBUKENI WA FINANCE CONTROL, UILMBUKENI WA UJAMAA UJAMAAA
Great, statistics za info? Literacy na Int trade tulizofaidika nazo esp individually, maana serikali yetu kazi yake ni kubofoa na kulipa mabilioni kila mwaka!
 
Hakika mkuu

China na Urusi ni wajannja sana waliwalisha matangapori huku wao wakifaidika na ujamaa alafa vibarkaa wao wakaambulia njaaa
Kabisa mkuu, sasa hivi ni wakati wa ku unlearn na ku delete matangopori tuliyolishwa. Bado hatujachelewa pia tujitahidi kukiri na kukubali tulikosea ili tuweze kujisahihisha.
 
Back
Top Bottom