Ila ukweli ni kuwa kwa miaka mingi WaTanzania tulionekana wadhaifu sana kwa majirani zetu wa East Africa, angalau kwa sasa tunakula nao sahani moja

Great, statistics za info? Literacy na Int trade tulizofaidika nazo esp individually, maana serikali yetu kazi yake ni kubofoa na kulipa mabilioni kila mwaka!
Sijaleta issue ya serikali,

Kama una bifu na govt ingia tovuti zao uwashushie nuclear

Niko individually hapa
 
Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.

Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.

Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
Nadhani kutojua kiingereza pia kilileta kutojiamini Kwa wa tz ujio wa English medium umesaidia sana watanzania kutoka kimataifa au nasema uongo ndugu zangu
 
Kabisa mkuu, sasa hivi ni wakati wa ku unlearn na ku delete matangopori tuliyolishwa. Bado hatujachelewa pia tujitahidi kukiri na kukubali tulikosea ili tuweze kujisahihisha.
Tatzo ni kuwa mamlaka zilizopo bado zinaendelea kutumia effect hii,

Pia tatizo ni kuwa huko bush bado wanaishi katika effect hii

So ni popn ndogo iliojanjaruka ila ndio hivyo wanakuwa under-appreciated washambaa wanaanza kuwaita vibaraka wa wazungu , mara upinde, mara gaidi etc

Nchi kama Singapore iliamua kufanya cultural revoulation, elimu tu haitoshi, kufanya mabadiriko ya chaima haitoshi, inabidi ifanyike cultural revn

USWAHILI USWAHILI UNATUMALIZA
 
Nadhani kutojua kiingereza pia kilileta kutojiamini Kwa wa tz ujio wa English medium umesaidia sana watanzania kutoka kimataifa au nasema uongo ndugu zangu
Hakika mkuu

Ndio maana nashangaa hawa wanaoleta ishu za kurudisha watoto kayumba

Wapuuzi kwli
 
Shida yetu ni kujifungia mbali na dunia , na kujifanya eti nyumbani kumenoga, wakati hatuna jambo jipya tunalo ambukizana 🤔
Ni kweli, juz usiku nikiwa natokea arusha kuja iringa ,nimekutana na mkenya mmoja ambaye sasa tumekua washkaji, akawa ananiambia, ametoka kenya anakwenda Zambia akipita bongo, kutazama fursa za kufanya. Mostly anafanya biashara ya kusafirisha mazao. Tumeongea mengi sana na nikajifunza vitu. Kitu kikubwa sana akanmabia "bro kata pasaport kwa kuanzia, mengine yatafuata"
 
Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.

Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.

Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
Hivi Kwa East Africa nchi gani imeendelea kimiundo mbinu na kiuchumi kuliko zote na nchi gani ni ya Mwisho kimiundo mbinu na kiuchumi??
 
Ni kweli, juz usiku nikiwa natokea arusha kuja iringa ,nimekutana na mkenya mmoja ambaye sasa tumekua washkaji, akawa ananiambia, ametoka kenya anakwenda Zambia akipita bongo, kutazama fursa za kufanya. Mostly anafanya biashara ya kusafirisha mazao. Tumeongea mengi sana na nikajifunza vitu. Kitu kikubwa sana akanmabia "bro kata pasaport kwa kuanzia, mengine yatafuata"
Ila mafanikio si lazima a crossing boundaries kikubwa ni kujituma na kujitahidi kuizoea technology
 
Ni kweli, juz usiku nikiwa natokea arusha kuja iringa ,nimekutana na mkenya mmoja ambaye sasa tumekua washkaji, akawa ananiambia, ametoka kenya anakwenda Zambia akipita bongo, kutazama fursa za kufanya. Mostly anafanya biashara ya kusafirisha mazao. Tumeongea mengi sana na nikajifunza vitu. Kitu kikubwa sana akanmabia "bro kata pasaport kwa kuanzia, mengine yatafuata"
Hata wazungu walikua wana safiri na majahazi kutafuta maarifa mapya,ndio maana leo hii unaona kwao kupo organised vibaya mno.
 
Ni kweli, juz usiku nikiwa natokea arusha kuja iringa ,nimekutana na mkenya mmoja ambaye sasa tumekua washkaji, akawa ananiambia, ametoka kenya anakwenda Zambia akipita bongo, kutazama fursa za kufanya. Mostly anafanya biashara ya kusafirisha mazao. Tumeongea mengi sana na nikajifunza vitu. Kitu kikubwa sana akanmabia "bro kata pasaport kwa kuanzia, mengine yatafuata"
Hakika
 
Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.

Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.

Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
Eli Cohen hii user name yako movie yake huwa sichoki kuiangalia, hakika ugomvi mashariki ya kati hautokaa kuisha.
 
Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.

Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.

Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
mimi juzi kati nilimkamata mkenya nikampiga konzi!!
 
Back
Top Bottom