Ujamaa your ass!! Umemaanisha ni nini mkuu?Hahahah hakika mkuu
Ujamaa my ass!!πππ
Sawa sawa mkuuπππUjamaa ni ujinga mtupu mkuu
SawaTulionekana illterates, un-informed and less-modern.
Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.
Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
A piece of shi+Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.
Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.
Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
Duniani hakuna kitu kinaitwa ucommunist for 100% kwa sababu asili ya binadamu ni tamaa na ubinafsi kwa kiasi kikubwa.Au wewe ni communist mkuu ?π
Mkuu ila mentality za ujamaa zinatutesa sana bado lazima tuzipunguze.Hahahah hakika mkuu
Ujamaa my ass!!πππ
Unaweza kuonyesha vichache tulivyofanya kuprove statement yako mkuu?Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.
Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.
Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
Ofcourse mkuu:Unaweza kuonyesha vichache tulivyofanya kuprove statement yako mkuu?
Great, statistics za info? Literacy na Int trade tulizofaidika nazo esp individually, maana serikali yetu kazi yake ni kubofoa na kulipa mabilioni kila mwaka!Ofcourse mkuu:
SASA HIVI TUKO MORE INFORMED
SASA HIVI ILLITERATE IMEPUNGUA
SASA HIVI TUNAFAIDIKA NA INTL TRADE
LAKINI BADO TUNA USWAHILI MWINGI NA ULIMBUKENI WA FINANCE CONTROL, UILMBUKENI WA UJAMAA UJAMAAA
Kabisa mkuu, sasa hivi ni wakati wa ku unlearn na ku delete matangopori tuliyolishwa. Bado hatujachelewa pia tujitahidi kukiri na kukubali tulikosea ili tuweze kujisahihisha.Hakika mkuu
China na Urusi ni wajannja sana waliwalisha matangapori huku wao wakifaidika na ujamaa alafa vibarkaa wao wakaambulia njaaa