Sijaleta issue ya serikali,Great, statistics za info? Literacy na Int trade tulizofaidika nazo esp individually, maana serikali yetu kazi yake ni kubofoa na kulipa mabilioni kila mwaka!
Nadhani kutojua kiingereza pia kilileta kutojiamini Kwa wa tz ujio wa English medium umesaidia sana watanzania kutoka kimataifa au nasema uongo ndugu zanguTulionekana illterates, un-informed and less-modern.
Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.
Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
Tatzo ni kuwa mamlaka zilizopo bado zinaendelea kutumia effect hii,Kabisa mkuu, sasa hivi ni wakati wa ku unlearn na ku delete matangopori tuliyolishwa. Bado hatujachelewa pia tujitahidi kukiri na kukubali tulikosea ili tuweze kujisahihisha.
Hukuona hilo?Great, statistics za info? Literacy na Int trade tulizofaidika nazo esp individually, maana serikali yetu kazi yake ni kubofoa na kulipa mabilioni kila mwaka!
Hakika mkuuNadhani kutojua kiingereza pia kilileta kutojiamini Kwa wa tz ujio wa English medium umesaidia sana watanzania kutoka kimataifa au nasema uongo ndugu zangu
Ni kweli, juz usiku nikiwa natokea arusha kuja iringa ,nimekutana na mkenya mmoja ambaye sasa tumekua washkaji, akawa ananiambia, ametoka kenya anakwenda Zambia akipita bongo, kutazama fursa za kufanya. Mostly anafanya biashara ya kusafirisha mazao. Tumeongea mengi sana na nikajifunza vitu. Kitu kikubwa sana akanmabia "bro kata pasaport kwa kuanzia, mengine yatafuata"Shida yetu ni kujifungia mbali na dunia , na kujifanya eti nyumbani kumenoga, wakati hatuna jambo jipya tunalo ambukizana 🤔
Hao wanasumbuliwa na tatizo la kiuchumi, huwezi kuona watoto wakishua wanasoma shule za kataHakika mkuu
Ndio maana nashangaa hawa wanaoleta ishu za kurudisha watoto kayumba
Wapuuzi kwli
Hivi Kwa East Africa nchi gani imeendelea kimiundo mbinu na kiuchumi kuliko zote na nchi gani ni ya Mwisho kimiundo mbinu na kiuchumi??Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.
Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.
Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
Ila mafanikio si lazima a crossing boundaries kikubwa ni kujituma na kujitahidi kuizoea technologyNi kweli, juz usiku nikiwa natokea arusha kuja iringa ,nimekutana na mkenya mmoja ambaye sasa tumekua washkaji, akawa ananiambia, ametoka kenya anakwenda Zambia akipita bongo, kutazama fursa za kufanya. Mostly anafanya biashara ya kusafirisha mazao. Tumeongea mengi sana na nikajifunza vitu. Kitu kikubwa sana akanmabia "bro kata pasaport kwa kuanzia, mengine yatafuata"
Unajua maana ya "bwashee"....... ???????Hakika mkuu
Kama sasa vijana wa kiume wameangukia wa mishangazi au bwashee wanafirimbwa
Hio ni kwa sababu ya maeleezo uliotoa hPo juu
Hata wazungu walikua wana safiri na majahazi kutafuta maarifa mapya,ndio maana leo hii unaona kwao kupo organised vibaya mno.Ni kweli, juz usiku nikiwa natokea arusha kuja iringa ,nimekutana na mkenya mmoja ambaye sasa tumekua washkaji, akawa ananiambia, ametoka kenya anakwenda Zambia akipita bongo, kutazama fursa za kufanya. Mostly anafanya biashara ya kusafirisha mazao. Tumeongea mengi sana na nikajifunza vitu. Kitu kikubwa sana akanmabia "bro kata pasaport kwa kuanzia, mengine yatafuata"
HakikaNi kweli, juz usiku nikiwa natokea arusha kuja iringa ,nimekutana na mkenya mmoja ambaye sasa tumekua washkaji, akawa ananiambia, ametoka kenya anakwenda Zambia akipita bongo, kutazama fursa za kufanya. Mostly anafanya biashara ya kusafirisha mazao. Tumeongea mengi sana na nikajifunza vitu. Kitu kikubwa sana akanmabia "bro kata pasaport kwa kuanzia, mengine yatafuata"
Eli Cohen hii user name yako movie yake huwa sichoki kuiangalia, hakika ugomvi mashariki ya kati hautokaa kuisha.Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.
Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.
Sasa hivi tunawakimbiza kiasi, tumeamka kwa kiwango chake ila bado sana, we have so much to do.
Lugha mzee, lugha jomba....hiki ndo kinatuangusha asee.Shida yetu ni kujifungia mbali na dunia , na kujifanya eti nyumbani kumenoga, wakati hatuna jambo jipya tunalo ambukizana 🤔
Uko sahihi 100%Nadhani kutojua kiingereza pia kilileta kutojiamini Kwa wa tz ujio wa English medium umesaidia sana watanzania kutoka kimataifa au nasema uongo ndugu zangu
Wachina wavyokuja bongo wao huwa wanakuja wakijua kiswahili tayari?Lugha mzee, lugha jomba....hiki ndo kinatuangusha asee.
mimi juzi kati nilimkamata mkenya nikampiga konzi!!Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.